WEWE ungepata ngapi?

Jamaa alikuwa anajibu jibu tu, swali la 1 na 6 yanafanana ajabu kakosa la kwanza. halafu hilo la pili mbona kn kapatia sehemu moja, mm ningechagua C.la pili halipo. Ni mtizamo tu.

HERI YA MWAKA MPYA 2013.
 
Wewe Bush siyo kilaza kihivyo,alikuwa anajua alichokuwa anakifanya.CIA na FBI wasingeliweza kumpotosha rais kiasi hicho!
 
Akili yake na mkono wake vilikuwa havina ushirikiano kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…