Wewe ungefanyaje?

daaaah.... Hapo ni kusema hivi..."EEE MUNGU MKUU SIKU UTAKAPO RUDI UNIKUMBUKE KATIKA UFALME WAKO AMINA.”
 
weka briefcase mdomoni mwa papa hata kama lina dola kadhaa then unavua koti na kusepa
ila jamaa kama anazama vileee, i.e. hajui kuogelea...
kwani kafata nini huko lol...!!?
 
weka briefcase mdomoni mwa papa hata kama lina dola kadhaa then unavua koti na kusepa
ila jamaa kama anazama vileee, i.e. hajui kuogelea...
kwani kafata nini huko lol...!!?

Ha ha haaaaaa! Ni kweli unamuwahi kwa kumlisha briefcase tu, mpaka aiteme ushasepa.
 
lakini aliyempiga picha ndo msaada wake na si vinginevyo
 
Ningemsalimia, halafu ningemwomba anipishe, maana kuna mahali nawahi.
 
Huyo katumwa kuficha hela za viongozi wa tz kwenye mdomo wa shark ambapo watu hawawezi kuingia.
 
hiyo ndio huwa tunaiita "NEAR DEATH EXPERIENCE"...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…