Bei Rahisi Electronics
Senior Member
- Apr 4, 2025
- 197
- 584
- Thread starter
-
- #21
πUkiendelea nitag
πUsikawie
Typing...Enhee!!!
πMkuu, endeleza stori. Tunataka tujue ile 150k uliifidiaje?
Anajaza jaza comments huku anafikiria kingine cha kuendelezanaona unahangaika ku reply badala ya kuendelea na story tukueleweje sasa
Mnatak kumkimbiza msimuliaji ππAnajaza jaza comments huku anafikiria kingine cha kuendeleza
Ulionyesha upumbavu mkubwa sana hapanikasema potelea mbali acha niende naye nitamwachia chumba nitakuwa nalala sebuleni.
Kumekucha itakuwa ulikuwa humpi sasampaπSi binti akasepa na vitu vyote gheto pamoja na pesa yangu ya akiba.... Kumbe yule mother alimpanga tu hakuwa mama yke wote walikuwa matapeli.
Mwisho...
Hapana, huu ni UJI!Anko sio chai kweli hii πππ