Wewe unamuogopa Yeye anacheza nae.

Naona wanataka chai chai sasa itawaunguza we subili aje ambadilikie
 
Kweli mwanadamu tumeumbiwa kifo ila hiki noo.Weka mbali na watoto hiyo.
 
wadhungu hawa, Labda alimtunza tangu utoto wake...
 
Hanatofauti na wale wabongo wanao cheza na chatu,tiba mbadala huchukua nafasi

  • :evil:




    • :loco:


 
Macho yamekiona tu kifua cha huyo binti na kuhusu huyo mamba naona ukungu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…