Wewe unafikirije juu ya Abbas Tarimba. Unadhani alikuwa timamu kiasi gani alipotamka haya maneno?

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
3,612
Reaction score
9,269
IMG-20250527-WA0016.jpg

Hivi hii tuiteje kweli? Kufuru dhidi Mungu Yehova, ujinga, upumbavu au ni kilele cha kiburi cha CCM na watawala wao..?

Mimi nimejaribu kufikiri huyu mbunge alikuwa amefikiri nini kumtetea Rais Samia Suluhu Hassan against Askofu Josephat Gwajima kwa kauli yake hii...?

Je, ubinadamu wa mtoto wa Rais aitwaye Abdul kumbe ni wa thamani zaidi kuliko mamia ya raia wasio na hatia (innocent citizens) waliokwisha kutekwa, kuteswa, kupotezwa na kuuwawa na vyombo vya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan...?

Je, Abbas Tarimba ana maana ya kuwa damu ya kina Mdude, Deusdedit Soka, Manengelo, Padri Charles Kitima, Tundu Lissu na wengine zaidi ya 83 ni za wanyama mbwa na nguruwe tu kwa thamani kulinganisha Abdul - binadamu kwa sbb ni mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan...?

Duuh, this is a blasphemy of highest degree....!

Je, alikuwa na maana kuwa wazazi wa hawa watoto, Watanzania wenzake Abbas Tarimba hawakuzaa kwa uchungu kama Bi Samia Suluhu Hassan alivyozaa vilevile na kulea hawa watoto waliouwawa kikatili na Polisi wa Tanzania kwa amri ya Rais Samia...?

➡️Hebu nisaidieni kuelewa...➡️
 
mbuge c chaguo la mwananchi Tena cku hzi ,Bali mbuge ni chaguo la rais ndio maana hawaishii kumlamba miguuu...na wabunge wenyewe hawana habari na wananchii...
Na wananchi wenyewe ndio km hv 👇😁
FB_IMG_1741855466216.jpg
 
mpuuzi sana huyo mzee, ampeleke mtoto wake basi akatobolewe macho maana abdul ndo mtoto pekee aliyezaliwa kwa uchungu hapa tz, wa kwake si aliwaokota.

mjinga, punguani, kenge, shenz waahed mmoja.

cocastic nisaidie kuongeza mengne pls sana
Naogopaa kulaaniwa. 😂😂😂😂
 
View attachment 3347911
Hivi hii tuiteje kweli? Kufuru dhidi Mungu Yehova, ujinga, upumbavu au ni kilele cha kiburi cha CCM na watawala wao..?

Mimi nimejaribu kufikiri huyu mbunge alikuwa amefikiri nini kumtetea Rais Samia Suluhu Hassan against Askofu Josephat Gwajima kwa kauli yake hii...?

Je, ubinadamu wa mtoto wa Rais aitwaye Abdul kumbe ni wa thamani zaidi kuliko mamia ya raia wasio na hatia (innocent citizens) waliokwisha kutekwa, kuteswa, kupotezwa na kuuwawa na vyombo vya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan...?

Je, Abbas Tarimba ana maana ya kuwa damu ya kina Mdude, Deusdedit Soka, Manengelo, Padri Charles Kitima, Tundu Lissu na wengine zaidi ya 83 ni za wanyama mbwa na nguruwe tu kwa thamani kulinganisha Abdul - binadamu kwa sbb ni mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan...?

Duuh, this is a blasphemy of highest degree....!

Je, alikuwa na maana kuwa wazazi wa hawa watoto, Watanzania wenzake Abbas Tarimba hawakuzaa kwa uchungu kama Bi Samia Suluhu Hassan alivyozaa vilevile na kulea hawa watoto waliouwawa kikatili na Polisi wa Tanzania kwa amri ya Rais Samia...?

➡️Hebu nisaidieni kuelewa...➡️
Alikuwa amelewa Shisha.Asamehewe
 
Alaaniwe mwenyewe.

GOD BLESS TANGANYIKA
 
Wewe elewa tuu kwamba Dunia hailo fair na inatoa privilege tofauti kulingana na status za watu.

Ukielewa Hilo huwezi shangaa hayo ya Tarimba ,hata wewe sio exceptional wa kujihesabia Haki.
 
View attachment 3347911
Hivi hii tuiteje kweli? Kufuru dhidi Mungu Yehova, ujinga, upumbavu au ni kilele cha kiburi cha CCM na watawala wao..?

Mimi nimejaribu kufikiri huyu mbunge alikuwa amefikiri nini kumtetea Rais Samia Suluhu Hassan against Askofu Josephat Gwajima kwa kauli yake hii...?

Je, ubinadamu wa mtoto wa Rais aitwaye Abdul kumbe ni wa thamani zaidi kuliko mamia ya raia wasio na hatia (innocent citizens) waliokwisha kutekwa, kuteswa, kupotezwa na kuuwawa na vyombo vya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan...?

Je, Abbas Tarimba ana maana ya kuwa damu ya kina Mdude, Deusdedit Soka, Manengelo, Padri Charles Kitima, Tundu Lissu na wengine zaidi ya 83 ni za wanyama mbwa na nguruwe tu kwa thamani kulinganisha Abdul - binadamu kwa sbb ni mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan...?

Duuh, this is a blasphemy of highest degree....!

Je, alikuwa na maana kuwa wazazi wa hawa watoto, Watanzania wenzake Abbas Tarimba hawakuzaa kwa uchungu kama Bi Samia Suluhu Hassan alivyozaa vilevile na kulea hawa watoto waliouwawa kikatili na Polisi wa Tanzania kwa amri ya Rais Samia...?

➡️Hebu nisaidieni kuelewa...➡️
Tarimba anq ugua kichaa toka kafiwa na watoto wake wakubwa wawili kwa ugonjwa wa zika. Ni mwehu akili haipo sawa.
 
Ndio mjue ccm ni TAKATAKA HAIJAWAH TOKEA, WAPO LETA MASLAHI YAO PEKEYAKO KENGE HAWA
 
Wanasiasa washirikina na wanaoidhulumu wananchi maskini bila huruma utawajua kwa kauli zao kama hizi.
 
Back
Top Bottom