Wewe ulitokaje?

Haha Rebecca sio hivyo, na kwa wakati huu hata ningepata mtaji sina hakika kama ningeutumia ipasavyo
ni topic nzuri,ila hayo majibu sasa mnhh..inaelekea watu wengi wetu hatujui jibu la mtoa mada,mie nahisi unahitaji money to make money....lol...labda JF ianzishe mfuko wa kuwasaidia members mitaji,lol
 
Hahaha...u great thinker wengine tunaupatia humuhumu mkuu tunaingia tukiwa empty headed kabisa so usimlaumu huenda yupo kwenye hatua za mwanzo kabisa za ukuaji...
Jirani
mosi , kheri ya sikukuu
pili, wakati unaanzisha huu uzi ulikuwa umesha graduate ?
 
Sana sana hapa utakumbana na wale waandishi wa vitabu kama "njia 10 rahisi zaidi za kuwa tajiri". kisha anaanza kutuma maombi ya kuchangiwa hela ya kumwezesha uchapishaji wa kitabu hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…