jana namwambia mama yangu.twende mim naijua hii ni muda nilipanda nzuri.tena anaye zi manage ni kijana saf kabisa mtu wa dini.Cha kushangaza sasa Boss wao na aliyemweka hapo huyo ( huyu ) Popoma ni Muungwana, Mnyenyekevu na Mkarimu hakuna mfano halafu Kwake hana Msamiati wa Roho Mbaya na Uchoyo.
Mkuu ilo buti la jeje limesimama sana.View attachment 2255057Nilishawahama muda tu, huduma zao haziridhishi, sometimes wanabania ticket za economic wanauza VIP, ukienda VIP hakuna maajabu, huduma za Zan Fast Ferry ziko poa sana.!
matajiri unafikir wana hizo.hayo mambo tunaleta sisi maskin unakaa boss anajua unafanya kazi kumbe na wewe una ka empire kako unaona kama ndio wewe tajiri.sijui ma hr wa siku hiz wa hiz corporates wana somea ninCha kushangaza sasa Boss wao na aliyemweka hapo huyo ( huyu ) Popoma ni Muungwana, Mnyenyekevu na Mkarimu hakuna mfano halafu Kwake hana Msamiati wa Roho Mbaya na Uchoyo.
hayo maelezo ndio alitakiw anipe.tumekwenda tuna hela zetu tunataka seat ukikaa umekaa uenjoy.unajua znz hata kama unaenda kwa shida ingine tu ila the whole trip si some sort of tourism.sasa hospitality inaanza kuwa mbovu hapa hapa,Mkuu ilo buti la jeje limesimama sana.
Okay boat zao kali ao Zan? Wana madaraja mangapi?
Huo ndio tunaita kuleta usharobaro kazini! Kwahiyo kama umekwazika nyumbani ndio uje kuleta masikitiko kazini! Kwanini asiombe ruhusa akamalizie stress nyumbani baadala ya ofisini? Huenda wewe ni muajiriwa ila kama umejiajiri una biashara na una hiyo mentality jirekebishe sister.Ungetafuta namba zake umpe makavu live. Pia ungeweza kutafiti kama tabia yake ya kila wakati au hiyo siku hakuwa sawa. Siku hazilingani. Kumsimanga humu jf, ni kama kumpikia majungu au kumfanyia fitna ilihali kijana anatafuta riziki yake
hatukatai.siku hazilinganUngetafuta namba zake umpe makavu live. Pia ungeweza kutafiti kama tabia yake ya kila wakati au hiyo siku hakuwa sawa. Siku hazilingani. Kumsimanga humu jf, ni kama kumpikia majungu au kumfanyia fitna ilihali kijana anatafuta riziki yake
kwa hio tunawajubika kila mahala kutafiti ? wewe uliomba customer care bas fanya kaz yako.home isuees acha homeUngetafuta namba zake umpe makavu live. Pia ungeweza kutafiti kama tabia yake ya kila wakati au hiyo siku hakuwa sawa. Siku hazilingani. Kumsimanga humu jf, ni kama kumpikia majungu au kumfanyia fitna ilihali kijana anatafuta riziki yake
ungempa maikinilikuwa najitahid kumuuliza daraja lipi zuri mama yangu alikuw kishakasirika ikabid tutoke tunaondoka wala hawatuuliz abiria mbona mnaondoka.kwanza hatoi sauti hakuna kitu kinakera hujibu wakat kazi iliyokuweka inakuhitaj utoe sauti.
tulitoka
View attachment 2255072
Mpige pumbuh tunafikir amekariri kila anayeenda pale ni mmuunguja akifika anatoa 30000 anapewa daraja la kawaida.kumbe kuna wateja wanataka kwemda ku enjoy zanzibar anataka apate daraja vip.yeye kwanza hatoi sauti unamuuliza mpaka unafanya jitihada kuchungulia kwenye kadirisha umsikie sauti punbav kabisa
Wana madaraja manneMkuu ilo buti la jeje limesimama sana.
Okay boat zao kali ao Zan? Wana madaraja mangapi?
Zanzibar Ina maajabu yake, unaweza kukuta alikua kwny siku zake ndio maana hakua na mood(pamoja na Kwamba Ni mwanaume).nilikuwa najitahid kumuuliza daraja lipi zuri mama yangu alikuw kishakasirika ikabid tutoke tunaondoka wala hawatuuliz abiria mbona mnaondoka.kwanza hatoi sauti hakuna kitu kinakera hujibu wakat kazi iliyokuweka inakuhitaj utoe sauti.
tulitoka
View attachment 2255072
hiyo VIP platinum wanakupa na demu kabisa au?Wana madaraja manne
Silver & Silver plus 30,000
Gold 50,000
Platinum 60,000
VIP 350,000
Dawa ni kuajiri ndugu zetu wa Kenya. Utashangaa level ya customer care. Majirani wetu wazuri kwa hili. Narudia tena wazuri kweli kweli.Bibi pole sana tatizo kubwa sana tunalo waTanzania kwenye suala la Huduma kwa wateja bado tupo nyuma sana
Mkuu. VIP 350,000 kuna swimming au? Hahahaha dah bei ya ndege.Wana madaraja manne
Silver & Silver plus 30,000
Gold 50,000
Platinum 60,000
VIP 350,000