Msichana mrembo alikua hajisikii vyema katika daladala iliyojaa kupita kiasi. akamwomba msaada wa siti kwa kijana mmoja aliyekaa.
Jamaa akamwambia njoo tu nikupakate maana sitoweza kusimama. Binti akakubali. Baada ya kukaa jamaa akaona aanzishe mazungumzo
Jamaa: unafanyakazi ya usekretari nini?
Binti: eeeh kaka, na wewe unafanyakazi gereji nini?
Jamaa: eeeh dada, ulijuaje?
Bint: Nilipokalia kuna kitu kama jerk hivi, naona kinaninyanyua