Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,317
7,509
Kuna mkaka wa humu,alianza kama utani huko Pm,kama kawaida yao kwa kuomba namba ya WhatsApp walivyo fasta,akaniomba nikampa

Tumezidi kuwasiliana,na kuanza kuzoeana ingawa yeye yupo Dar ,na Mimi nikiwa Mwanza

Alianza kama marafiki,tukawa tunapiga stories za maisha hapa na pale,bila kuniambia kuwa ananihitaji kimapenzi

Sasa juzi kanitumia nauli nije huku Dar tukutane na kufahamiana zaidi,basi nikamwambia hamna shida

Nikaanza safari,kufika Dodoma ndo akaanza kuingiza stories za kulala pamoja,nikamwambia for first time haitawezekana,nitakuja huko tutaonana,basi siku nyingine nikija ndo tutafanya hivyo,akakubali

Nikafika hapa Dar,akanipokea fresh,akanipeleka hotel tukapata chakula,,ila akawa ananiomba tulale pamoja nikakataa,akalazimisha nikahisi nisipoweka kigingi kizito hapa naweza kuingia online bila matarajio

Basi nikamwambia,kesho yaani nipo tayari kwa hilo unalotaka ila sharti la kwanza tukapime magonjwa ya ngono,akakataa,nikamwambia basi nikachukulie chumba nikalale akaniuliza ila tutalala pamoja,nikamwambia wewe kachukue tutaongea huko chumbani,wakati ananyenyuka nikaita Tax nikasepa na kuzima sim

Haraka zenu muda mwingine mtakuwa mnaambulia zero,na kwa nini hutaki kupima zinaa kwanza,wengine tuna allergy na kondom,I'm sorry jamani,nipo nakata tiketi kwa ajili ya safari ya kesho

Mchango
========
Kunawakati ule utafiti wa katika kila watanzania 4 basi watatu vichaa naumini

Watu kujifunua au kufunua wengine nadhani nikichaa tu.

Sio Mantiki watu
-watongozane kwa siri
-wakubariane kwa siri
-wakutane kwa siri
Halafu siku, mmoja anaibuka mitandaooni au mtaani, au mikutanoni au maharusini anasimulia yale waliyotenda sirini.....nikichaa

Mtiririko wote hamkushirikisha Jamii mkafanya sirini..... yanapowashinda please yaacheni hukohuko sirini.

Kuyaleta balazani
1. Kujidhalilisha, unajiaanika na kujitoa utu wako. Hutaaminika tena kwenye jamii

2. Unadhalilisha waliokuzunguuka

3. Unamdhalilisha mwenzako bila sababu

Hakuna tija zaidi ya fedheha kwa wote. Unaweza Dhani unamkomesha mwenzako ke/me kumbe wapi .... wote wataanza kukudharau wewe kisha watamdharau mwenzako.

Ya sirini hubakia sirini na endapo kila mmoja akaamua kutapika hapa situtabakia vinywa wazi.
Shemales
Gays
Sales
Thieves
Etc
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️

cutelove, ]Sasa hapa kosa la huyo kaka ni kuwa na papara za kukufunua mapema au kukataa kwenda kupima Magonjwa ya zinaa?

Anyway hisia zangu zinaniambia Kwa jinsi ulivyoandika ni kama vile Jamaa Angeweza kuwa mvumilivu kidogo kama ulivyotaka wewe Angeweza Kula kitumbua chako vizuri kabisa Bila hata kwenda kupima hayo Magonjwa ya zinaa.

Sema Sasa mpaka siku Anakuja kukushusha chupi angekuwa ameshatoboka Sana mfuko yaani kama ni mtaji ungebaki nusu, na yeye ili kuhepusha Hilo akataka mmalize business mapema..

Na kwa sababu haukuwa tayari kuliwa kabla haujafaidi vingi vya Jamaa ukaona njia pekee ya kumkacha ni kumletea hizo Habari za kupima HIV na ulifahamu fika kwamba Hilo Kwake litakuwa ni suala gumu. LAKINI NAAMINI KABISA HATA KWAKO WEWE HILO SUALA LA KUPIMA NI GUMU SANA NA ULITAMKA TU HIVYO KUTINGISHA KIBERITI NA JAMAA AKATINGISHA KWELI NA WEWE NDIO UKASHIKILIA HAPO HAPO, NA ENDAPO KAMA ANGERIDHIA SHARITI LAKO HATA WEWE USINGEENDA KUPIMA SABABU WEWE MWENYEWE NI MGAWAJI.

Mpaka unafunga safari ya kutoka Mwanza hadi Dar tena kuonana na mtu Baki tu Halafu ni mwanaume kwa gharama lazima ulikuwa unajua nini kinaenda kutokea mwisho wa safari(Kutombanna).

Kusema kwamba eti ulimfuata Dar kufahamiana nae tu hizo ni kamba ambazo hazimfungi mtu yeyote hapa, wewe ulijua kabisa unaenda kupigwa mashine na kufaidi vitamu vya Jamaa.

Kilichotokea huko ni kwamba umeishia kuwa disappointed baada ya kumkuta Jamaa yuko tofauti na jinsi alivyo jinasibu kabla hamjaonana na hiyo ndio ikawa deal breaker.

Pole Sana ziende kwa Baharia mwenzetu kwa kupoteza mechi kizembe Sana haikutakiwa kabisa iwe hivi, Yaani hii thread ya kishujaa ilitakiwa iwe ya kilio wanawake wenzako wawe wanatapika nyongo hapa Sasa hivi baada ya kuwa umeliwa na kuachwaa kwenye mataa Bila hata nauli ya kurudia. Endelea kuwa makin ila ipo siku utajaa tu labda uache hiyo tabia.
 
Kwahiyo unasafiri toka mwanza kuja dar umuone mtu?huko whtsap hamkutumiana picha?

Ww ulikuwa tayari kutoa papa baada ya cku ngap tangu ufike dar?

Ndio maana siku hizi hata mtu akija PM nashindwa kuongea vzr ID nyingi zipo kwa ajili ya kuchorana tu
 
Back
Top Bottom