mbna linapita hapo,au mleta uz katudanganyaIlo ni IT la mwarabu mmoja hivi Tz hakuna lami ya kupita hiyo kila sehemu vumbi na matuta
mwaka jana baada ya kutoka new toyota hilux 2016 haikupta mda san nkaiona posta mwarabu anayo ya blue dah ni noma hawa wamaharaWamanga wanasumbua sana hapa mjini.
Duh aisee watu wanajua show off maana hilo gari kua bongo hata huli enjoyHiyo Gari Mbona iko mjini siku nyingi na sio IT wala nini. Ni gari la mmoja wa watoto wa Bakhresa. Mara ya kwanza niliiona Buguruni jamaa alikuwa anatoka pale kiwandani kwao Opposite Tazara.
Mkuu nahisi davi mosha analo kama sikoseiHaaa haaa haaa leo kwa mara ya kwanza katika historia ya maisha yangu nimeliona gali maarufu duniani na lenye thamani kubwa BUGATI VEYRON kwa macho yangu sio video au picha nimeliona kwa macho yangu ndani ya Dar es salaam...iseeee watu wana hela bana