Wewe Hafrey wewe

Kumradhi ila jisi heading ilivyokaa nilijua mada imeandaliwa na 'mmahe"🀣🀣🀣🀣
 
Kama hii ndio single touch double manifestation basi tumekoma.. Hatutaonja sumu tena! Wala hatulambi wembe tena
Wengine tunashikana mashati.. Wengine tunaserebuka
Your browser is not able to display this video.
Kangi Lugola yuko wapi awakatikie hao UWT
 
Kuna haja Sasa ili uruhusiwe kufanya siasa Tanzania lazima uwe walau naa degree moja kutoka taasisi ya elimu ya juu inayotambulika.
Juu ya hapo uwe na IQ zaidi ya 130.

Kama hauna hivyo vigezo hapo juu, basi uwe na utajiri usiopungua Bilioni 20 kutoka kwenye biashara zinazotambulika kitaifa na kimataifa sio ule utajiri wa tunguli na kufuga fisi.

Siasa ndio zinaamua maisha ya watu, ni hatari sana kuruhusu wajinga kufanya siasa.

ndani ya mitaa ya Damascus - Syria.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...Tanzania hii? Mtu anaiba bilioni 20 halafu anakuambia Jamani nchi yetu ya amani hatuna mahala pengine pa kukimbilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…