Wewe Hafrey wewe

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,105
Reaction score
828,999
Ndio nini sasa umefanya mpaka tunakimbia viota vyetu na kuahirisha ratiba zetu nyingi?
Sasa unadhani tutachaguanaje kwa huu upuupu ulioumwaga?

Sasa kila mtu anawashwa.. Nyumbani hapakaliki kijiweni hapatoshi
Na ulivyo mbaya umekaa kimya tuli unatuchora tu na popcorn zako
Kama hii ndio single touch double manifestation basi tumekoma.. Hatutaonja sumu tena! Wala hatulambi wembe tena
Wengine tunashikana mashati.. Wengine tunaserebuka
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
hakuna cha upupu wa uharo tunaahirisha kwa sababu zetu za msingi sio za huyo juha
 
Yule jamaa aliyekula mshahara wa mwezi mmoja kama KMK navyomjua yule ni bingwa wa misimu yote kitendo cha kuwaambia tuweke Karata dume hata Kama Kitabu kinataka karata tofauti aliona mbali kuwa ni hatari akili ya kuhudumia helicopter sio ya kuhudumia wananchi ona sasa
 
Unamaanisha Okitoba hawatatiki tena kama walivyotungangazia?
 
Mzee wangu wewe endelea kula ukwaju kwa utulivu hapo ulipo. Safari hii Kijani wamejikoroga vibaya sana. Sijui mnatokaje tokaje hapa! Mmewajazaja wahuni kwenye chama. Ona wanavyowavurugeni sasa
ha ha nachoipenda tanzania ni uhusiano kama huu,kila siku huwa namshukuru baba yangu kuja kuzaa tanzania,asante sana bro,Mungu akupe kila baraka,siku una shida yoyote nijulishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…