Weusi wapata kichapo uwanjani, Afrika Kusini

Mleta uzi hebu jirekebishe kidogo basi,kuwa na akili za kikubwa, everyday thread zako za uchochezi tu! Ni bora ungekuwa unachangia mahala pako (KENYAN NEWS) lakini huku hapakufai hata kidogo unatuchafulia mno
 
Weusi kwa weusi matusi kila siku hayaishi.

Mnategemea weupe watatufanya nini?

Upo sahihi maana hawa weusi wa Kusini juzi waliwapiga na kuwaua weusi kutoka nchi zingine, sasa itakua ngumu kuonewa huruma wanapodhulumiwa na hao Wazungu. Waafrika wenyewe tunaishi kwa kuchukiana kwa misingi ya mipaka aliyochora huyo mzungu, bora tupigwe tu hadi tutie akili...pumbavu zetu.

Weusi wanapokea kichapo maeneo mengi dunia hii.
 
Hahahhahahahhaah eti pumbavu zetu unavituko wewe .

Mpaka hiyo siku tuanze kuheshimiana, tuache chuki za kijinga, majigambo yasiyo na mbele wala nyuma tuanze MSHIKAMANO wa kweli sio ule wa kinafki. Ndipo tutakapo ona maendeleo na mafanikio yasiyo na kina.

Ila kwa sasa kama waziri mkuu mstaafu wa Tanzania alivyosema "mpigwe tu " .
 
Back
Top Bottom