STALLEY JF-Expert Member Joined May 5, 2012 Posts 622 Reaction score 219 Feb 1, 2014 #1 Hii ngoma mpya ya weusi GERE ni balaa tupu .flow kali ,beat kali ,kiukweli wamekuja kitofauti sana mara ya kwanza kuisikia nilishtuka kidogo lakini baada ya kuisikiliza tena nimewaelewa sana .weusi hawana mpinzani bongo
Hii ngoma mpya ya weusi GERE ni balaa tupu .flow kali ,beat kali ,kiukweli wamekuja kitofauti sana mara ya kwanza kuisikia nilishtuka kidogo lakini baada ya kuisikiliza tena nimewaelewa sana .weusi hawana mpinzani bongo