Storm shadow
Senior Member
- Jul 5, 2019
- 167
- 133
- Thread starter
-
- #41
you raise me up:Wakuu bila shaka mu wazima wa afya
Leo nataka muwajue kundi LA westlife na record kubwa waliyonayo kwenye muziki.
Westlife ni kundi LA muziki wa pop vocal kutoka Ireland liliundwa huko sligo mwaka 1998 likiwa na member wanna ambao ni Nicky bryne, Shane filan, mark feehily, kian Evan. chini ya manager Louis wash
Kundi hill lilivunjika mwaka 2012 na kujiunga tena 2018 wamefanikiwa kuachia album nyingi ikiwemo Westlife 1999,Coast to coast 2000,World of our own 2001,Unbreakable -the greatest hit 2002,tournaround 2003 na zingine nyingi pia wameachia cover albums Kama vile Alow as to be frank 2004,The love album 2006.studio albums kama vile Face to face 2005, Back home 2007 na nyingine nyingi.
Wana single hit nyingi kama vile : Swear it again, If I let you go,Flying without wing, I have a dream ,Season in sun,Fool again , My love , What make a man, uptown girl, Unbreakable, My heart tonight, Hey wherever, The rose you, You raise me up, world of our own , soledad na nyingine nyingi.
Wana record ya Guinness world record ya kuwa na single saba zilizoingia namba moja katika chati za muziki ndani ya united kingdom ,nyimbo bora nfani ya united kingdom, albums zilizouza zaidi karne ya 21(21st C),wameuza zaidi ya copies milioni 45 ya studio albums mpaka kufikia million I 55 dunia nzima .pia in group lenye mauzo makubwa zaidi ya album muongo wa 2000s huko united kingdom .wana views zaidi ya billioni moja YouTube subscribers 2.2 million wamekuwa streamed Mara millioni 550 katika mtandao was Spotify
Wana tuzo moja ya world music award, mbili za Brit award, nne za MTV awards,nne za Record of the year award.
Wameuza zaidi ya ticket milioni 5.5 katika tour 13 mpaka sasa .wanashikilia record ya kujaza idadi kubwa ya watu katika viwanja vya The SSA Belfast na The SSA Wembley
Wana recodi ya kuuza ticket zote (sold out) ndani ya dakika 5 katika viwanja vya croke park.kwa sasa wana endelea na tour yao ya The twenty four hours.
My loveeeeeeeeeOver seas from coast to coast, to find the place I love the most
Where the fields are green, to see you once again, my love
KabisaaaNyimbo za kujifunzia kiingereza na dedication kwa barua [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] ...
Fool again is still my favorite though my love is one of their all time major and successful hit
Dah nani uyo kachafua kundi! Yani wanampakua mavi???Mmoja wao si riziki
yap kati ya ngoma zinazoimbwa kwa hisia ya hali ya juuHivi ile ngoma ya "You raise me Up" ni ya west life? Moja ya ngoja nnayoikubali sana..
so here we standWakuu bila shaka mu wazima wa afya
Leo nataka muwajue kundi LA westlife na record kubwa waliyonayo kwenye muziki.
Westlife ni kundi LA muziki wa pop vocal kutoka Ireland liliundwa huko sligo mwaka 1998 likiwa na member wanna ambao ni Nicky bryne, Shane filan, mark feehily, kian Evan. chini ya manager Louis wash
Kundi hill lilivunjika mwaka 2012 na kujiunga tena 2018 wamefanikiwa kuachia album nyingi ikiwemo Westlife 1999,Coast to coast 2000,World of our own 2001,Unbreakable -the greatest hit 2002,tournaround 2003 na zingine nyingi pia wameachia cover albums Kama vile Alow as to be frank 2004,The love album 2006.studio albums kama vile Face to face 2005, Back home 2007 na nyingine nyingi.
Wana single hit nyingi kama vile : Swear it again, If I let you go,Flying without wing, I have a dream ,Season in sun,Fool again , My love , What make a man, uptown girl, Unbreakable, My heart tonight, Hey wherever, The rose you, You raise me up, world of our own , soledad na nyingine nyingi.
Wana record ya Guinness world record ya kuwa na single saba zilizoingia namba moja katika chati za muziki ndani ya united kingdom ,nyimbo bora nfani ya united kingdom, albums zilizouza zaidi karne ya 21(21st C),wameuza zaidi ya copies milioni 45 ya studio albums mpaka kufikia million I 55 dunia nzima .pia in group lenye mauzo makubwa zaidi ya album muongo wa 2000s huko united kingdom .wana views zaidi ya billioni moja YouTube subscribers 2.2 million wamekuwa streamed Mara millioni 550 katika mtandao was Spotify
Wana tuzo moja ya world music award, mbili za Brit award, nne za MTV awards,nne za Record of the year award.
Wameuza zaidi ya ticket milioni 5.5 katika tour 13 mpaka sasa .wanashikilia record ya kujaza idadi kubwa ya watu katika viwanja vya The SSA Belfast na The SSA Wembley
Wana recodi ya kuuza ticket zote (sold out) ndani ya dakika 5 katika viwanja vya croke park.kwa sasa wana endelea na tour yao ya The twenty four hours.
west life ni Irish people sio waiingerezaWaingereza wana mdomo sana ila hawa jamaa kwa upande wangu hawawafikii backstreet boys
Nyimbo za kujifunzia kiingereza na dedication kwa barua [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] ...
Fool again is still my favorite though my love is one of their all time major and successful hit
Dah nani uyo kachafua kundi! Yani wanampakua mavi???
😂😂😂nimecheka sana mkuuNilikuwa naweza nikashinda ndani kutwa nzima nasikiliza nyimbo zao. balehe mbaya sana kudadeki unampenda mtu kufa ila kumwambia unashindwa unabaki unamuandika kwenye makaratasi. Prisca nilikupenda sana wallah
season in the sun:Wakuu bila shaka mu wazima wa afya
Leo nataka muwajue kundi LA westlife na record kubwa waliyonayo kwenye muziki.
Westlife ni kundi LA muziki wa pop vocal kutoka Ireland liliundwa huko sligo mwaka 1998 likiwa na member wanna ambao ni Nicky bryne, Shane filan, mark feehily, kian Evan. chini ya manager Louis wash
Kundi hill lilivunjika mwaka 2012 na kujiunga tena 2018 wamefanikiwa kuachia album nyingi ikiwemo Westlife 1999,Coast to coast 2000,World of our own 2001,Unbreakable -the greatest hit 2002,tournaround 2003 na zingine nyingi pia wameachia cover albums Kama vile Alow as to be frank 2004,The love album 2006.studio albums kama vile Face to face 2005, Back home 2007 na nyingine nyingi.
Wana single hit nyingi kama vile : Swear it again, If I let you go,Flying without wing, I have a dream ,Season in sun,Fool again , My love , What make a man, uptown girl, Unbreakable, My heart tonight, Hey wherever, The rose you, You raise me up, world of our own , soledad na nyingine nyingi.
Wana record ya Guinness world record ya kuwa na single saba zilizoingia namba moja katika chati za muziki ndani ya united kingdom ,nyimbo bora nfani ya united kingdom, albums zilizouza zaidi karne ya 21(21st C),wameuza zaidi ya copies milioni 45 ya studio albums mpaka kufikia million I 55 dunia nzima .pia in group lenye mauzo makubwa zaidi ya album muongo wa 2000s huko united kingdom .wana views zaidi ya billioni moja YouTube subscribers 2.2 million wamekuwa streamed Mara millioni 550 katika mtandao was Spotify
Wana tuzo moja ya world music award, mbili za Brit award, nne za MTV awards,nne za Record of the year award.
Wameuza zaidi ya ticket milioni 5.5 katika tour 13 mpaka sasa .wanashikilia record ya kujaza idadi kubwa ya watu katika viwanja vya The SSA Belfast na The SSA Wembley
Wana recodi ya kuuza ticket zote (sold out) ndani ya dakika 5 katika viwanja vya croke park.kwa sasa wana endelea na tour yao ya The twenty four hours.
Aisee kumbe nimepitwa na wakati hivi. Kumbe washajiunga tena baada ya kundi lao kuvunjika. Mkuu naomba baadhi ya majina ya vibao vyao walivyoachia tangu hiyo 2018 ili niweze kupata ladha nilizozikosa kwa muda sasa.Wakuu bila shaka mu wazima wa afya
Leo nataka muwajue kundi LA westlife na record kubwa waliyonayo kwenye muziki.
Westlife ni kundi LA muziki wa pop vocal kutoka Ireland liliundwa huko sligo mwaka 1998 likiwa na member wanna ambao ni Nicky bryne, Shane filan, mark feehily, kian Evan. chini ya manager Louis wash
Kundi hill lilivunjika mwaka 2012 na kujiunga tena 2018 wamefanikiwa kuachia album nyingi ikiwemo Westlife 1999,Coast to coast 2000,World of our own 2001,Unbreakable -the greatest hit 2002,tournaround 2003 na zingine nyingi pia wameachia cover albums Kama vile Alow as to be frank 2004,The love album 2006.studio albums kama vile Face to face 2005, Back home 2007 na nyingine nyingi.
Wana single hit nyingi kama vile : Swear it again, If I let you go,Flying without wing, I have a dream ,Season in sun,Fool again , My love , What make a man, uptown girl, Unbreakable, My heart tonight, Hey wherever, The rose you, You raise me up, world of our own , soledad na nyingine nyingi.
Wana record ya Guinness world record ya kuwa na single saba zilizoingia namba moja katika chati za muziki ndani ya united kingdom ,nyimbo bora nfani ya united kingdom, albums zilizouza zaidi karne ya 21(21st C),wameuza zaidi ya copies milioni 45 ya studio albums mpaka kufikia million I 55 dunia nzima .pia in group lenye mauzo makubwa zaidi ya album muongo wa 2000s huko united kingdom .wana views zaidi ya billioni moja YouTube subscribers 2.2 million wamekuwa streamed Mara millioni 550 katika mtandao was Spotify
Wana tuzo moja ya world music award, mbili za Brit award, nne za MTV awards,nne za Record of the year award.
Wameuza zaidi ya ticket milioni 5.5 katika tour 13 mpaka sasa .wanashikilia record ya kujaza idadi kubwa ya watu katika viwanja vya The SSA Belfast na The SSA Wembley
Wana recodi ya kuuza ticket zote (sold out) ndani ya dakika 5 katika viwanja vya croke park.kwa sasa wana endelea na tour yao ya The twenty four hours.
AlbumsAisee kumbe nimepitwa na wakati hivi. Kumbe washajiunga tena baada ya kundi lao kuvunjika. Mkuu naomba baadhi ya majina ya vibao vyao walivyoachia tangu hiyo 2018 ili niweze kupata ladha nilizozikosa kwa muda sasa.
Somebody atusaidie kuishusha hapa hii ulbumSafiiiii