Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,506
- 2,453
free @TAL also free @NORENOEWapenda haki popote mlipo tunapasa kuperurusha free TAL kwa page za mitandao ya kijamii ya media kubwa duniani,hii campaign isiwe na mwisho
Hii itakuwa campaign kubwa kuwahi kutokeafree @TAL also free @NORENOE
Hii mbinu imefanya kazi kwa ufanisi mkubwa,Dunia kwa sasa ina mambo mengi sana. Huku Trump, huku Russia. Kila watu watatue watatizo yao kama watu wazima wenye akili timamu, au wapigane na kuuana kama wanyama.
Kwa kweli hawatamuweza ,kadri wanavyoongeza nguvu ya kupambana naye ,ndivyo wanavyoongeza kasi ya kujipoteza,Mwaka huu naona anguko kubwa la CCMCcm wenyewe taabani hapo walipo wenyewe kwa wenyewe humalizana kwa sumu. Tundu Lissu yupo na Mungu hawamuwezi kabisa hao wenye chama cha Mashetani(ccm)
Sio kupeperusha tu, nendeni kabisa huko huko kupeleka mabango ya huo ujinga wenu. Tanzania Moja itaendelea kulindwa kama mbonicya jicho.Wapenda haki popote mlipo tunapaswa kuperurusha #tag yetu ya free TAL kwa page za mitandao ya kijamii ya media kubwa duniani kama CNN, Aljazeera, BBC sio BBC swahili, Newyork times hii campaign isiwe na mwisho mpaka dunia nzima ijue yanayoendelea Tanganyika huku tukiwa na Quotation yetu pendwa ya No reforms no election, hakika campaign yetu itasikika duniani
Waambie ukweli Hawa mapimbi!Wapenda haki popote mlipo tunapaswa kuperurusha #tag yetu ya free TAL kwa page za mitandao ya kijamii ya media kubwa duniani kama CNN, Aljazeera, BBC sio BBC swahili, Newyork times hii campaign isiwe na mwisho mpaka dunia nzima ijue yanayoendelea Tanganyika huku tukiwa na Quotation yetu pendwa ya No reforms no election, hakika campaign yetu itasikika duniani
Jinga wewe!Sio kupeperusha tu, nendeni kabisa huko huko kupeleka mabango ya huo ujinga wenu. Tanzania Moja itaendelea kulindwa kama mbonicya jicho.
We mpumbavu na nyumbu utaniambia nini?!!Jinga wewe!
Free TAL,#No reforms no electionCCM ni kama timu za waarabu wa kaskazini mwa afrika
Nyakati hizi wanakutia nguvuni,wanakutia rumande ili tu wakutoe kwenyemstari.
Then wanakuachia tena,ni noma aise