Werema (mwanasheria wa serikali), umejifunza nini?

obeid666

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
1,279
Reaction score
9
Ni kawaida ya Watanzania kuingilia mambo kiushabiki bila kuwa ya kufanya utafiti,uchaguzi wa Kenya eti Ccm walikuwa wakisema kwamba wanamshangilia Uhuru Kenyata,ni siasa za kijinga ambazo hamna nchi yoyote duniani inayofanya vitu kama hivyo isipokuwa Tanzania tu chini ya uongozi wa ccm

Viongozi hawahawa wenye akili zile zile wakaambiwa kwamba msiwaruhusu hawa viongozi wa Rwanda na Burundi kuingia kwenye EAC lakini wakajidai wajuaji zaidi kuwakubalia ,kwanza bado amani haijatengemaa katika nchi hizo lakini wakatetea saana

Viongozi hawa hawa wakaandika barua ICC eti wanamtetea Ruto kwamba hiyo mahakama irudi Tanzania au Kenya,mnajidai mna huruma wakati hawana muda na wewe?

Viongozi wa hovyohovyo wanaofanya mambo ya hovyohovyo wanajipendekeza
 
mi CCM imeambiwa na China ifanye hivyo kwani..watasaidiw ana china kuua watanzania..sasa wanajiandalia mazingira ya waoa kufungua kesi za kihuni.
 
nakumbuka tbccm ilikua pia inashadadia habari za kenya hadi kinyaa wakati za nyumbani mfano za m4c hawaripoti..
 
Sijawahi ona Serikali isiyokuwa na maamuzi mazuri na ya kukumbukwa kama ya ccm, kama ni picha ya action, hata stering hajulikani. Kila mtu ndo yeye, na yeye ndo Serikali. Very disorganized and very disappointing. Hivi huwa hawakai hata vikao vya kujadili mstakabari aw nchi na kuwa na common understanding kuliko kila mmoja kuropoka anavyojua. Hakuna protocali kabisa. Totally utter.....
 
Ni kawaida ya Watanzania kuingilia mambo kiushabiki bila kuwa ya kufanya utafiti,uchaguzi wa Kenya eti Ccm walikuwa wakisema kwamba wanamshangilia Uhuru Kenyata,ni siasa za kijinga ambazo hamna nchi yoyote duniani inayofanya vitu kama hivyo isipokuwa Tanzania tu chini ya uongozi wa ccm

Viongozi hawahawa wenye akili zile zile wakaambiwa kwamba msiwaruhusu hawa viongozi wa Rwanda na Burundi kuingia kwenye EAC lakini wakajidai wajuaji zaidi kuwakubalia ,kwanza bado amani haijatengemaa katika nchi hizo lakini wakatetea saana

Viongozi hawa hawa wakaandika barua ICC eti wanamtetea Ruto kwamba hiyo mahakama irudi Tanzania au Kenya,mnajidai mna huruma wakati hawana muda na wewe?

Viongozi wa hovyohovyo wanaofanya mambo ya hovyohovyo wanajipendekeza

Unauhakika na kilichoandika ICC? Usikurupuke fanya utafiti kwanza
 
Unauhakika na kilichoandikwa kwenda ICC? Usikurupuke, fanya utafiti kwanza
 
Back
Top Bottom