We’re threatened, says Zitto

JPM Mkono wa chuma ni wale ambao huwa hawataki kukosolewa kamwe! Akisema ndio hivyo! Mfumo dume umemharibu anadhani na kuongozkuongoza nchi ni sawa na kuongoza boma lake! Kuna sheria na taratibu zake na busara tele! Ukikosa kimojawapo.....utapwaya tu
 
Ndiyo matatizo ya viti maalum Mkuu mara nyingi wanaoteuliwa kupitia viti hivi hawana sifa kabisa ya kuwepo mjengoni.

Exactly my point, these are the wabunges we got. SMFH!
 
Ndiyo matatizo ya viti maalum Mkuu mara nyingi wanaoteuliwa kupitia viti hivi hawana sifa kabisa ya kuwepo mjengoni.
Hivi, huu mpango wa viti maalumu kwa nini uliletwa? Anyways, tusije kuonekana hatutaki 50-50.
 
Reactions: BAK
 
The way how our members of commons argue it is better not to show it publicly due to the fact that they don't show the sense of maturity other than showing their faces and educational levels one has reached. Our parliament has lost its legitimacy and legality because people like the sugu etal are like people who are not wise
 
Kama sikosei kwenye rasimu ya Tume ya Warioba huu mpango wa viti maalum ulikuwa ufutwe lakini CCM wakachakachua. Basi hata kama ni viti maalumu chagueni watu ambao wana sifa ya kuwemo mjengoni hata wanapoamua kuchangia mijadala Bungeni Watanzania tunapiga makofi badala ya kushangaa huyu naye kivipi kachaguliwa kuingia Bungeni.

Hivi, huu mpango wa viti maalumu kwa nini uliletwa? Anyways, tusije kuonekana hatutaki 50-50.
 
Naona jamii forums imenunuliwa na mafisadi. Kila nikipost mawazo mazuri ya kuitetea serikali post inaondolewa fasta
 
....li serikali la kijinga,very primitive,eti yanataka kusifiwa tu hata yakikosea yasifiwe tu!,sijui tatizo ni IQ ndogo au vipi?!
 
Hivi kwa mini Tanzania watu hawampi support rais huyu peculiar kabisa ila tunambeza kiasi hiki mi nashangaa. Kila mtu anajua kupiga domo. Kwani watanzania mnataka nini? Mbona hamueleweki. Fanyeni kazi jamani acheni kupiga domo kila wakati. Sisi tumenyamaza tungeqeza kuishambulia chadema mana haina mwelekeo tena has a baada ya kuingiliwa na mafisadi. Ila tumemezea jamani acheni magufuli ana nia nzuri na nchi yetu ila mumsaidie tu akikosealakini siyo kumbeza. Pumbafu zenu!!!
 
Ccm oyeee
 
Naona jamii forums imenunuliwa na mafisadi. Kila nikipost mawazo mazuri ya kuitetea serikali post inaondolewa fasta
Usihukumu wenzako kuwa mafisadi, tutaaminije kama wewe si fisadi au unanufaika na ufisafi? Yawezekana unapost pumba au matusi ndio maana wanaondoa
 
....akili yako umeitupa asubuhi shimo la taka,ulisahau ukaichanganya na taka zingine!, hebu wahi kaiokote!
 
Naona jamii forums imenunuliwa na mafisadi. Kila nikipost mawazo mazuri ya kuitetea serikali post inaondolewa fasta
Kumbuka ni mawazo mazuri kwako lakini sio kwa forum , huu ni mtandao unaoendeshwa na kanuni na taratibu zake...serikali huwa haitetewi mitandaoni hasa na ID bandia , mojawapo ya kazi ya mitandao ya kijamii ni kuikosoa serikali kwa uwazi na ukweli kwakuwa hapo ndio penye sauti za wengi kusikika bila woga wala hofu ya kufuatiliwa
Hatupaswi kuisifu serikali ya sasa kwa lolote! Sifa zitakuja mwishoni sio sasa
 
Nilidhani ni TBC peke yake ndio iliamua kukataa kurusha bunge live sikujua serikali ilipiga marufuku media zote. Mimi ni shabiki wa serikali ya JPM lakini udiktator kamwe siwezi kusapoti.
 
Maguli is showing in reality that we have to exodus where we are but some people are struggling to make things not successful like the opposition parties. We must understand our president is so enthusiastic to make Tanzania shine anlmongst nations
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…