Wenzangu huwa mnafanyaje hapa?

Jay El

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2020
Posts
459
Reaction score
734
Mimi ni kijana wa makamo ambae nimefikia uamuzi wa kutafuta mwenzi wa kuoa niko 33. Nimepata dada anaenipenda sana ila kinachonitisha ni wivu.

Mfano suala la simu nilimuambia sitaki niione yake wala kujua anawasiliana na nani sasa yeye anagoma anasema et unaficha nn? Amesema ikiwa simu haitakua waz bas tuachane. Eti kashauriwa asimuache mwanaume free ataletewa wake wenza. Mimi najiuliza mtu kanijua ukubwani na busara zangu anakuta sina hata mtoto wa kusingiziwa kwa mtu.
Nimeamua tu kumpa nafas ila si kwa ajili ya chochote mana nimemzid kila kitu elimu n.k.

N.B. yeye yupo mkoani kuna kipindi alikuja hapa Dar tukakaa kama Siku nne ivi sasa simu nilikua nachaji usiku chumba kingine sasa yeye akawa anamind sana.

Tushafahamiana kwao na kwetu so ni anatakiwa aje next week sogea tukae..

Naombeni experience zenu wakuu
 
Kwani Simu yako inanini mkuu?

Unatengeneza bomu usiloweza kulitegua, ukitaka uaminifu uwepo ndani ya nyumba anza wewe kuwa mfano wa huo uaminifu.

Unaenda kuingia kwenye ndoa acha makandokando, usiitumie ndoa kama sehemu ya kujificha huku ukiendelea kufanya uhuni ITAKULA KWAKO TU.
 
Ukitaka ndoa yako idumu na iwe na Amani.
1. HAKIKISHA HUSHIKI SIMU YAKE NA YEYE HASHIKI SIMU YAKO.
Utasishukuru siku za usoni.
Sasa mkuu hapo ndio anagoma kabisaa... Ananipa mifano ya wengne mm namuambia hilo kwangu hapana.. analazimisha tuu
 
Achana nae huyo ana utoto mwingi. Simu sio kitu cha kukufanya uanze kuleta ultimatums
Asante mkuu japo mdada mwenyewe ni mvumilivu.. Ila sababu simpend nitamtaftia sababu hapo hapo
Na usipende mwanamke utakuja kufa mapema
 
Achana nae huyo ana utoto mwingi. Simu sio kitu cha kukufanya uanze kuleta ultimatums

Na usipende mwanamke utakuja kufa mapema
Asante mkuu mzabzab mimi sijampenda kwa kweli ila nataka kutimiza wajibu tu kuwa na mimi nilioa nikawa na watoto... ndio mana nataka nimtreat very rational akinishindwa ajikatae
 
Alafu nawewe utakuta et unamuomba Mungu akupe mke. Sawa fanya inavyokupendeza siku ikifika zamu yako usisahau kuja kutusimulia utakavyoachwa
Good guy hii dunia ni mzunguko tu mimi mwenyewe nishazinguliwa na mademu sana... sema yeye kapenda vbaya
 
Asante mkuu mzabzab mimi sijampenda kwa kweli ila nataka kutimiza wajibu tu kuwa na mimi nilioa nikawa na watoto... ndio mana nataka nimtreat very rational akinishindwa ajikatae
Ah kumbe. Usijali mwanawane wanaume wengi hatuwapendi wake zetu ila tupo nao basi tuu watutotolee watoto na awe na akili ya kuwatunza. Sii unaona tunavyosaka pisi kali huku nje. Wee kama unaona anaweza kuwa mama mzuri kwa watoto wako basi weka ndani. Ila kwenye simu weka msimamo wako.
 
Mkuu acheni utoto
 
Poa mkuu asante sana kwa ushauri mzur...Ni zile pis sura ya baba so hainipi tabu ila inajielewa kwa baadhi ya mambo kwa kwl.. ila ngoja nimkazie hapo hapo..mana yy kafa kaoza
 
Kama humpendi muache sasa tafadhali, usiingie nae kwenye ndoa, hili ni tatizo unakwenda kulitengeneza kwa mkono wako mwenyewe.

Acha kuwaza kisela, tuliza akili fikilia tena na tena
Goodguy nahisi nitajifunza kuipenda humu humu ndani as long as atakua na good character kuliko nikazanie mishape na misura Alaf ilete miyeyusho
 
Kwanini usioe hizo pisi unazozipenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…