Naisujaki Lekangai
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 1,340
- 1,377
Wanachitchat, nawatakieni heri na baraka za mwaka mpya!
Maisha ya karne hii yametawaliwa na namba......kila kitu ni namba.
Namba za simu,
Namba za akaunti yako ya benki
Namba za kadi ya king'amuzi
Namba za LUKU
Namba, namba, namba.
Afadhali hizo namba za simu unazihifadhi kwenye phone book ya simu. Hizo nyingine je jamani!
Mnafanyaje?