Kuna nyumba moja hv nimepanga maeneo ya hapa mjini.
Pale jirani kwetu kuna dada nae kapanga. Dada ana watoto watatu wote wa kike.
Watoto wawili kazaa na mwanaume mmoja na mwingine kazaa na mwanaume mwingine.
Ila wale wanaume wake wote ameachana nao. Wale watoto wote wapo kwa bibi zao.
Na sasa ameamua kurudiana na mpenzi wake wa zamani ambae naye ana mke na watoto.
Anadai kuwa hawezi kuanzisha mahusiano mapya na mwanaume ambae hajawahi kuwa nae
katika mahusiano hapo kabla. Huyu ni maalum kwa ajili ya kuhandle her daily life confrontations.
Anasema kwamba yeye amekata tamaa ya kuolewa kwa kuwa amejaribu na imeshindikana,
sasa mpango wake ni kutembea na wanaume wa watu tu basi kwa kuwa wanajali na
hawafuatilii kihivyo, na kweli she is a woman of her words, anatembea nao vilivyo.
Ila sikia hii:
Mara nyingi anafumaniwa kwa njia ya simu(yaani call au sms), anachomoa hv:
Anamwambia mwanamke mwenzake(aliemfumania) kuwa yeye anajua kuwa ni kweli jamaa ana
mke lakini si yeye(yaani aliemfumania), yeye anamfahamu mwanamke mwingine na yeye
ameamua kutembea nae kwa kumkomoa yule mwanamke kwa kuwa naye aliwahi kutembea na bwanake!
Hapo yeye anaacha msala wa mume wa mtu vs mke wake vs mwanamke asiejulikana!!