C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,735
Wakuu salaam
Hapo Nyuma kulikuwa na Kelele kuhusu mshahara wa Rais hoja hizo zilikuwa ni hoja za msingi ila sasa baadhi ya wanasiasa waligeuza kama ndio hoja ya kuwatoa kimasomaso Sasa tarehe 1/4/2016 Rais wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania aliamua kavunja mzizi wa fitna na kutuambia anapokea kiasi cha sh. Ml 9 akaenda mbali zaidi kusema kuwa ataonyesa salary slips zake akirudi kutoka chato
Nice move Mr President
sasa Niwakati wa wenye viti wa vyama vya upinzani na wao watuambie mishahara yao ni shilingi ngapi...
Tukianza na the man himself MBOWE
Hii itasaidia kuweka uwazi, na imani kwa wananchi kwa wenyeviti wao... kwani kwa kukaa kwao kimya wananchi watakuwa wana mashaka na mishahara yao kwani inaweza kuwa ni mikubwa kuliko wa rais
Hivyo magufuli ameonyesha njia so kina mbowe wafanye wananchi wawaamini tena