wenyeji jografia ikoje huku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wenyeji jografia ikoje huku

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mtembeaji, Feb 28, 2012.

 1. m

  mtembeaji New Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekuwa nikipita jamvini na kusoma michango ya kusisimua, naomba sasa nami kuwa mchangiaji.
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 15,480
  Likes Received: 8,267
  Trophy Points: 280
  hali ya hewa ni nzuri hasa kwenye jukwa la mmu, kuna upepo unavuma kwa kasi kubwa jukwaa la siasa, jihadhari na propaganda za magamba, udini hauna nafasi kabisa ukiondoa wachochezi wachache, soma na kuelewa sheria na kanuni za jamvi letu, HUMU HAOGOPWI MTU!!!!!!!!!!! karibu mwaego
   
 3. ram

  ram JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 5,948
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  Karibu mgeni ila usituletee mambo ya fb

   
 4. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,450
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  mbona hujamuelekeza chit chat?
   
 5. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,548
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Karibu but kama na wewe gamba inabidi ujitoe 2 na urudi fcbk koz humu ni mahali pa makamanda wapiganaji ktk jamii yetu.
   
Loading...