Wenye wachumba sekondari na vyuoni jiandaeni kisaikolojia

mi mmojawao...yaani sijui mtoa mada kaigunduaje hii!
Ngoja niseme kitu huwa inatokea maranyingi labda pale ulipokuwa na mtu mliokuwa mnapendana ikatokea hitilafu mkaachana....sasa athari mara nyingi huwa kwa upande wa mwanamke umri pengine umeenda pengine unaitaji mtoto...anatokea mtu humpendi toka moyoni kama anavyokupenda yeye....mnaanzisha mahusiano ilimradi liende ukipata chance ya kuwa mbALI NAE EITHER kimasomo au kikazi ni rahisi kumsaliti kwa kuwa you dont feel him!!
That it fact!....na ipo sana si uhuni ila ni kwamba hisia kwa yule hakuna na unakuja kumpata unayempenda....kwa kweli ni tatizo kubwa...pengine iundiwe TUME!
 
LifeHacker heshima kwako mkuu!!! Je hizi ndoa za kampas(mahusiano kati ya student na student hasa chuoni) unazisemeaje?
 
Last edited by a moderator:
Inategemea na how smart a man/guy is. Kama the guy is really smart upstairs and financially sound.....huwezi kuachwa kwasababu THE MORE SHE GROWS THE CLOSER YOU BECOME kwasababu mind yake inaanza kukuapproach kwa mapana yake.
Ila kama wewe ni zuzu tu alikukubali huko nyuma, obviously THE MORE SHE GROWS THE MORE YOU DEPART.
#I still love my bf na tumeanza kudate while I was in high school....he is very smart and we are becoming closer and closer each and everyday.

#BEING SMART IS THE BIGGEST POINT HERE

Kama requirement yako ni being smart, basi ukikutana na #SMARTER guy imekula kwake (i mean anayemzidi wako, ambao ni wengi tu).
 
Kama requirement yako ni being smart, basi ukikutana na #SMARTER guy imekula kwake (i mean anayemzidi wako, ambao ni wengi tu).

I didn't mean what you translated.
Nilichomaanisha if love is there and the guy is smart.......hata ukutane na Billgate it won't drive you.
Period
 
LifeHacker heshima kwako mkuu!!! Je hizi ndoa za kampas (mahusiano kati ya student na student hasa chuoni) unazisemeaje?

Hizo ndoa ni kamari, movies, comedies, show off, swagger, halafu zina attachments ambazo ni tofauti na love. They depend on financial status, material wealth e.g car and academic ability, sometimes intellect (a girl being affectionate to a guy because he is academically excellent or he is able to reason logically), so they are subject to vanish without further notice.
 
Najua kuna idadi ya kutosha ya wanaume ambao ni waumini wazuri sana wa kufanya uchumba na wasichana wa sekondari na vyuo. Wasichana hao waliwapenda wanaume na kuamua kuwa na mahusiano nao au labda hawakuwapenda kabisa lakini waliamua kuwa na mahusiano nao ili waweze kunufaika kwa namna moja au nyingine!

Kikubwa zaidi bila kujali msichana/mwanamke alikupendea nini, ni kwamba kadri msichana anavyopevuka kielimu, kiakilia na kijiografia mtizamo wake unazidi kubadilika. Kwa hiyo kadri muda unavyoenda msichana anakutana na kujenga mahusiano na watu wenye sifa aidha zinazowavutia zaidi kuliko wapenzi wao wa mwanzo au sifa nzuri zaidi tofauti na za wapenzi wao wa awali. Kama msichana alikuona wewe ndio Alwatani wa kijijini kwenu alikotoka kwa sababu una bodaboda ndio akakupendea, basi mjini atakutana na watu wenye Hammer, Range Rover, Landcruiser, etc., halafu sikilizia maumivu atakayokuachia kama hujajajiandaa!

Mpaka sasa nina umri wa kutosha ila sijaona rafiki yangu yeyote, jirani au mtu yeyote ninayemfahamu ambaye ameweza kuoana na msichana aliyeanza urafiki naye akiwa sekondari au chuo. Kwa hiyo mlioamua kujiingiza kwenye mahusiano na watoto wa sekondari au vyuoni jiandaeni kisaiklojia maana "you may be dumped without further notice".

Hii ni pande zote mkuu.,mimi nilimaliza chuo nilikua na demu karibia miaka sita.Nilipoanza kazi nikakutana ni mdemu wa ukweli ofisini. Nikapiga chini wa chuo nikakamata wa ofisini.
 
Mkuu wa 27 washagegedwa vya kutosha mpaka basi
Wala usijali kwani hilo nalo ni Somo
Wangepitia JKT mwaka mzima ndio wangepevuka kabisaa
JKT mapenzi ni miezi 2 au 6 km Afande hajakunyang'anya
 
Najua kuna idadi ya kutosha ya wanaume ambao ni waumini wazuri sana wa kufanya uchumba na wasichana wa sekondari na vyuo. Wasichana hao waliwapenda wanaume na kuamua kuwa na mahusiano nao au labda hawakuwapenda kabisa lakini waliamua kuwa na mahusiano nao ili waweze kunufaika kwa namna moja au nyingine!

Kikubwa zaidi bila kujali msichana/mwanamke alikupendea nini, ni kwamba kadri msichana anavyopevuka kielimu, kiakilia na kijiografia mtizamo wake unazidi kubadilika. Kwa hiyo kadri muda unavyoenda msichana anakutana na kujenga mahusiano na watu wenye sifa aidha zinazowavutia zaidi kuliko wapenzi wao wa mwanzo au sifa nzuri zaidi tofauti na za wapenzi wao wa awali. Kama msichana alikuona wewe ndio Alwatani wa kijijini kwenu alikotoka kwa sababu una bodaboda ndio akakupendea, basi mjini atakutana na watu wenye Hammer, Range Rover, Landcruiser, etc., halafu sikilizia maumivu atakayokuachia kama hujajajiandaa!

Mpaka sasa nina umri wa kutosha ila sijaona rafiki yangu yeyote, jirani au mtu yeyote ninayemfahamu ambaye ameweza kuoana na msichana aliyeanza urafiki naye akiwa sekondari au chuo. Kwa hiyo mlioamua kujiingiza kwenye mahusiano na watoto wa sekondari au vyuoni jiandaeni kisaiklojia maana "you may be dumped without further notice".

Naunga mkono hoja!
 
Mimi ndo maana napenda kukoboa ngozi za wajane maana yeye ukimkoboa vizuri ni faraja tosha lkn mitoto ya vyuo hata ukoboe hadi uchubuke akipita wa kipato cha juu anakoboa na vyanafunzi vinakobolewa ngozi hvyooooooooooo
 
Mimi Arovera na Jembe Afrika tunakoboa ngozi za wajane taratibu bila matatizo
 
Mtoa mada umegusa sana,naomba usinikumbushe yaliyonikuta miaka kumi na moja iliyopita nilikuwa na binti mmoja tumeanza nae mahusiano nae tangu akiwa fomu one,niljitahidi kumhudumia kila kitu,simu alikuwa halali kama hajasikia sauti yangu.alipojiunga chuo kikuu hapo UDSM mambo yakanza kubadilika na hatimaye nilitumiwa message moja siku moja inasema YOU ARE NOT MY TYPE PLEASE STAY AWAY.ilibidi watafutwe wataalamu wa saikolojia wanisaidie nashukuru sasa nimeshasahau mimeoa mwingine maisha yanaendelea.
 
Back
Top Bottom