Wenye wachumba sekondari na vyuoni jiandaeni kisaikolojia

TO ME I HAVE A 360 degree angle view.

HAPA UKWELI NI KWAMBA SI KWELI KWAMBA WAPENZI WALIOKO NYUMBANI NDIO WANAPOTEZA AMA WANAACHWA.

wapo wa chuoni waliodanganywa na mwisho wakaambiwa ukweli kuwa

"nina mpenzi wangu ndiye niliyepanga kumuoa ama kuolewa nae"

hata mapenzi ya wanavyuo vyuoni huwa yanaisha ghafla mara tu baada ya chuo kisa mdada alikuwa na mtu wake mtaani ama mkaka alikuwa na msichana wake mtaani.

KIFUPI MBELE YA ATTRACTIVE FACTORS YOU ARE LIKELY TO LOSE YOUR GIRL OR BOY BILA KUJALI NI MTAANI,CHUONI AMA KAZINI.

EVERY BOBY MUST BE PREPARED IN CASE. Hata wenye ndoa nao wajiandae kisaikolojia. NA MWISHO ITS JUST NORMAL MAANA HAYA MAMBO NDO YAPO KILA KONA.
 
I may seem selfish, ila distance relationships have never worked out in my side and i think it will never work. Itokee nimehama mkoa kibiashara au kiofisi, lazima nisafiri na familia yangu. Siwezi kuwa na mchumba ambae nikitaka kumuona hadi nifunge safari ya siku nzima. It really sucks.

Sijawahi kuona distance relationship inawork out.

we ndo hujawahi, mi nimeshaiona tena ipo hadi leo, tatizo wengi siku hizi sio waaminifu
 
Ukweli kwa asilimia 99.9. Hiyo 0.1 ni ya kwangu miliyefanikiwa kuoa mtu niliyeanza naye Shule miaka 12 iliyopita, nikaenda naye Chuo na sasa tuna miaka 7 kwenye ndoa. But ni very rare aise, wanawake wengi sio wavumilivu wa changamoto kama vile umbali na ukata Chuoni.

hongera bro, you made it
 
Kwa watoto wa shule na vyuo usipeleke moyo wako kama hutaki stress
 
kuachwa unaweza achwa hata na asiye mwanafunzi.......acha kutisha watu, wanaachana walio oana itakuwa wapenzi?????
huo ni upuuzi na kutojiamini....
 
Mi hapa si mkaaji,ngoja nihamie kule kwenye jukwaa la siasa,hapa naona muda umenitupa mkono.
 
Back
Top Bottom