Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,567
- 7,460
Kabla ya Ndoa mambo huwa hivi:-
MME: Nilitamani sana muda huo ufike.
MKE: Vipi wataka niondoke?
MME: Hapana hata kidogo.
MKE: Unanipenda?
MME: Ndo maana ake...
MKE: Utaniletea demu mwingine ndani?
MME: Siwezi kufanya huo upuuzi.
MKE: Utanibusu kwa penzi la dhati milele?
MME: Kila mara
MKE: Je utanipiga?
MME:Aaagh haiwezi tokea hata mara moja.
MKE: Naweza kukuamini kweli?
MME: Ndio...
MKE: Aaagh Mpenziiiiii...............!!
Ukitaka kujua baada ya Ndoa sasa mambo huwaje? Anza kusoma hayo maandiko kuanzia chini ukipandisha juu...!!
Chezea Ndoa wewe...!!
MME: Nilitamani sana muda huo ufike.
MKE: Vipi wataka niondoke?
MME: Hapana hata kidogo.
MKE: Unanipenda?
MME: Ndo maana ake...
MKE: Utaniletea demu mwingine ndani?
MME: Siwezi kufanya huo upuuzi.
MKE: Utanibusu kwa penzi la dhati milele?
MME: Kila mara
MKE: Je utanipiga?
MME:Aaagh haiwezi tokea hata mara moja.
MKE: Naweza kukuamini kweli?
MME: Ndio...
MKE: Aaagh Mpenziiiiii...............!!
Ukitaka kujua baada ya Ndoa sasa mambo huwaje? Anza kusoma hayo maandiko kuanzia chini ukipandisha juu...!!
Chezea Ndoa wewe...!!