poleni wote mlio wapenzi wa jukwaa hili kwa mihangaiko ya kutwa nzima.Lengo langu ni kutaka kufahamu namna ambavyo PSPTB inavyo mkonsider mtu mwenye postgraduate diploma ya ugavi na aliye na digrii tofauti na ugavi.
Binafsi,ninasoma postgraduate diploma ya ugavi katika chuo cha T.I.A ila digrii yangu ni elimu.Nachotaka kufahamu ni kwamba;baada ya kumaliza na nikahitaji kufanya mitihani ya bodi,nitatakiwa kuanza na level 4 au level 1 kabisa?Nategemea kupat majibu sahihi kwani ni muda mrefu nipo njia panda.Asanteni.
Ungekuwa na degree ya proc ndo ungeanzia level iv lakn kwa kuwa unadegree ingnee sugua gaga mkuu kwa level i kwanza,bnafs angu nahs kama umekengeuka kwa maaamuz hayo,Elimu ipo pazur sana cjui kwann tu umekimbilia huko pasua kichwa....

elimu ipo pazur wap ukisoma masters wanaitambua baada ya miaka15 huo ndo uzur au unamdanganya mwenzio. Hiyo degree ya ualimu bod hawaitambui na level ya kuanzia kwa ordinary n level 1 but cjajua kwa hyo advanced