Wenye shule yetu njooni tukubushane mawili matatu hapa

BARDIZBAH

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
4,789
8,492
Milambo(Shule ya wanaume Tabora)
Leo nikiwa natoka mkoa x kwenda mkoa y, nilibahatika kushuka Tabora kupata pumziko kidogo ili kesho niendelee na safari.

Nikasema sio mbaya nikaitazame shule yangu pendwa, shule ambayo imeacha historia kubwa kwenye maisha yangu. Nimepata kumkuta yule babu Msengi, Mwalimu zouma naambiwa alihamishwa.

Embo WALAMBO njoeni tukumbushane mawil matatu hapa.

IMG_20210905_172536_3.jpg
IMG_20210905_172425_8.jpg
 
Dah kitambo sana, nakumbuka pilikapilika za mashindano ya usafi kushindania mbuzi, route za chemchem kufuata maji. I wish one day nitatembelea tena
 
Dah kitambo sana, nakumbuka pilikapilika za mashindano ya usafi kushindania mbuzi, route za chemchem kufuata maji. I wish one day nitatembelea tena
Chemchem nimepachungulia, naopa pako vile vile aise zaid panazid kuchoka. Madogo nowdays wanavisima na mapampu ,hata kule makokora hawaendi kuchota maji.
 
Warambo mlikuwa mnatupiga tukiwafunga kule uwanja wa mwinyi,viwanja vya uhaziri basi tu mna fujo ni balaa. Mana mlikuwa mkizidiwa kila kitu kasoro fujo mlituzidi.
Kwaya kanisani mnazidiwa, shughuli za dini yaani basi,michezo tunawazidi, mpaka matokeo ya Necta so mnatuchukia mnatupiga. Afu mnakuja kucheza na dada zetu ,mkipita kwetu mnatutukana.
Warambo wana wana uuu
 
Bila shaka wewe ni mboyzia wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom