jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 11,021
- 10,683
Wenye nyumba/vyumba/viwanja/frames za kukodisha, msiogope maswala ya wapangaji wenu kulipa kodi kila mwezi, hasa kama dola imetamka hivyo, na wanadai watakuja na mfumo utakaowalinda wapangaji na wapangishaji, kama ni hivyo basi hatuoni tatizo, hasa kama mikataba yenu itatamka wazi vipengele vyote kuhusu upangishaji wa hiyo sehemu.
Kuna kodi ya miezi 2 au 3 itatolewa kama Deposit, na kodi ya mwezi mmoja juu.
Hii "Deposit" tuikumbuke ni kwa ajili ya kukulinda mwenye boma kama kutakuwa na uharibifu wa aina yoyote pale kwako, na kama hela itabakia basi itatumika kama kodi ya mwezi au ile miezi michache aliyokaa mteja wako bila kulipa kodi..
Twajijuwa raia, mwanzoni mwa hii mikataba lazima kutatokea tafrani nyingi tu, polisi na mahakama ya ardhi n.k. Hasa za wateja ambawo hawajalipa kodi zao kwa muda unaohitajiwa na kusababisha kodi kulundikana, na kuwa vigumu kulipa, dola imesema itatunga sheria za kukulinda wewe mwenye boma hili swala litakapotokea..
Nahisi dola pia itaweka sheria za wewe mwenye boma kumpa notisi ya muda fulani mfupi mteja wako endapo utakuwa hujaridhika na kiwango anacholipa kwa mwezi kwa muda huo..
Pia kutokana na mikataba hii mifupi, tutegemee utakuwa ukibadilisha wateja kukicha, kwa bei uitakayo wewe mwenye boma..
Tunategemea pia mpangishaji atapata uhuru wa kuhamia nyumba mpya kila baada ya miezi michache, sababu mikataba sasa itakuwa mifupi..
Yaonekana hii sheria ikija itawanufaisha na kufedhehesha pande zote 2, ni nzuri, kwani siyo lazima tena kwa mwenye boma na mpangaji kuzoena kama zamani..
Yawezekana hii sheria imeletwa kupunguza rushwa na ufisadi makazini petu, tukumbuke hata wale wanaopangisha vimada sasa yawezekana tena...
Wenye nyumba, tuikubali hii sheria ikija, nina uhakika itasaidia pande zote 2, hasa hasa kwenu wenye maboma..
Au?

KUHUSU WAZIRI WANYUMBA NA MAKAZI KUWAOMBA WENYENYUMBA KUPANGISHA KWAMWEZI MMOJA MMOJA JE KUNAWEZA KUWAPA UNAFUU WAPANGAJI AU NDO KUNAWEZA KUWAPA MAISHA MAGUMU ZAIDI?