Wenye nguvu zao hawa....

Huyu mzee mbna kama aliyeninyang'anyia girl wangu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
.......yani mie naomba kweli nisizeeke sijui!!! maana nikiona hiyo ngozi ilivyojikunja nanywea!!!
 
.......yani mie naomba kweli nisizeeke sijui!!! maana nikiona hiyo ngozi ilivyojikunja nanywea!!!
Hauta ona tofauti, watu ndio watakuona mzee, ila wewe utajiona uko poa tu, na utaendelea kuponda raha, mpaka utakapoanza kushindwa kutembea, then utatambua, you are now finished..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…