lift gharama
Senior Member
- Apr 11, 2015
- 107
- 66
Hebu fafanua hapo kwenye red.Jamani wanajamvi salaam;
Nimeona watu tuna miili tofauti. Utakuta mwanamke au mwanaume ana mwili laiiiini . Ukimshika mkono laiiini. Hivi hii hali ina mahusiano na uwajibikaji kwenye viwanja vya six kwa six? Kwamba huko nako ni walaini na wananepa vizur.? Mwenye ufahamu atushirikishe.
Nitarudi nikishajua mwelekeo wa moshi wa kijani kule Dom
lainiiii.....kama unanawaaaa!!!
Mkuu nitakupataje, naumwa kwa ajili yako.
mmmmh!!! umeanza kuumwa lini?
Tangu nianze kukuona jamvini...nilibadili ID kwa ajili yako usije ukaona masihala. Nisaidie please mapenzi juu yako yasije yakanimaliza.
embu ninongoneze id yako ya zamani...
embu ninongoneze id yako ya zamani...
Kwani haujawahi kumuona jambazi handsome mkuu?