Wenye masters na phd wakiingia jeshini wanapewa cheo gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenye masters na phd wakiingia jeshini wanapewa cheo gani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by king11, Jul 3, 2011.

 1. k

  king11 JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wajumbe mwenye habari kamili juu ya ni namna gani na jinsi gani  watu wenye masters na phd wanapewa vyeo katika jeshi la wananchi wa tanzania JWTZ naomba atoe ufafanuzi
   
 2. Kijuche

  Kijuche JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  [FONT=&quot]Sorry mkuu habari hii inaweza isiwe kamili sana ila kwa ujuvi mdogo nilioupata hakuna kanuni au maandishi rasmi yaliyokuwa documented yahusuyo namna ya ugawaji vyeo jeshini kwa kigezo cha elimu ya mwombaji isipokuwa unapoamua kujiunga na jeshi, elimu yako inatakiwa iwekwe pembeni kwanza then unapigwa rigwaride la muda wa miezi 12 then unatoka pale kama kuruta. Baada ya hapo huwa zinatokea nafasi za kwenda somea uongozi miezi sita au mwaka kutokana na mahitaji kama yapo kwa muda huo. Hii huweza tokea pia wakati kozi ya kwanza ikiendelea kama kuna mahitaji ya viongozi basi wale wenye elimu, performance nzuri katika mafunzo na nidhamu bora wanaweza unganisha kozi ya uongozi Monduli. Baada ya kufanikiwa kumaliza siku ya graduation waweza anza na nyota 1 au 2 n.k. kulingana na mahitaji lakini. Ila kitu cha msingi ni kuwa mvumilivu maana kule waweza timua vumbi kutokana na kwata lilivyotaiti. Na hasa ukiwa na elimu ya kutosha kiasi hicho basi tena kwata la wale wakufunzi walio na elimu ndogo kwako waweza kata tamaa na kuacha. Ukiwa na nia, ukaweza komaa, performance nzuri katika mafunzo na nidhamu bora basi mzee vyeo huja tu, ila kulingana na mahitaji hakuna formula ya vyeo jeshini. Wenye uzoefu mzuri zaidi ya huu wanaweza kukusaidia zaidi kwa mawazo.[/FONT]
   
 3. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Navojua mimi kama umefanikiwa katka mafunzo ya kijeshi, basi aliyemaliza form six anapewa nyota moja, degree nyota mbili, master unaweza pewa zaidi ya cheo cha Captain, ila kuna wakati waweza Umeja kwa mwenye PhD na kuendelea kwa vyeo vya jeshi!
   
 4. k

  king11 JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  je kuingia jeshini kwa watu wa namna hii kuna mchujo wao tofauti au ni lazima upite kwenye mfumo ambao ni wa kuchujana kwa kutumia maguvu
   
 5. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Umri nao utakuruhusu kweli?Manake mpaka unakuwa na Masters/PhD,inategemea;but in most cases wengi wanakuwa wameshavuka 35yrs.Au hakuna kigezo cha umri?
   
 6. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2011
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Siku hizi watu wanapata PhD wakiwa under 30. Unaanza UNiversity na miaka 18, unamaliza ukiwa 23 na Masters unaipata ukiwa 24 to 25. PhD yako 26 to 27.
  Na watu hawa inaaminika wana strategic thinking zaidi ya physical skills ndio maana wanaanza na cheo cha juu. Sio TZ peke yake, hata nchi zingine inakua hivo.
   
 7. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  mkuu labda usomee nje ya nchi.Ndiyo maana nikaandika 'inategemea',maana yangu ni kwamba,uwe umesomea nje.Bongo PhD at 30??wacha masihara weye!
   
 8. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  Ukiwa kwenye fast track ya namna hiyo ni elimu hatari manake wewe utakuwa unachanja mbuga tu bila working experience, matokeo yake ndio kuzalisha nerds ama maprofessor uchwara
   
Loading...