wenye magazeti acheni hizo

Acha waziweke bwana....watu mnasimama kwa muuza magazeti mnasoma mpaka kurasa za ndani? Buree?!
 
pengine malalamiko ya upungufu wa kurasa + free magazine za ndani yamezidi
that why wanafanya hivyo
 
Hiyo ni komesha kwa wale wanaochukua gazeti nakusoma kurasa zote then anaondoka bila kununua so akishachomwa ataacha kuchomoachomoa hovyo magazeti na atalazimika kununua endapo atavutiwa na kichwa cha habari cha front page ili kujua undani wa kilichoandika
 
mie kuna siku nimepewa gazeti lina pini nikawa namrudishia muuzaji.....,
kumbe its a new fashion in town
bora wayabane tu Bishanga you wii get used to it
 
Last edited by a moderator:
Safiiiiiiiii tena sana warichelewa jamani mwee! Ile n kazi kama zingine kwa nn usome buree?
 
nilijua ni mimi tu nakereka kumbe tupo wengi wengi! napatwa uvivu wa kuyasoma hayo magazeti yenye pini manake mpaka nitafute kifungua pini........
 
tena wanatutia aibu sie wahudumu
ukipokea gazeti huna hata taimu ya kulisoma kwa kuwa uko kwenye jf masaa yote
akiingia kodinata anakuuliza vipi mbona haujasoma hata haya, daaah.

sasa inabidi nipate shida ya kutoa hizo pini ili walau nionekane nimesoma ili kuondoa so,
kweli waambie waache kabisa hizo.
 
Bishanga umeanza lini usharobaro?

Kusho utasema hata biscuit huwezi kuvunja.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…