Wenye magari binafsi watoe lift kwa watoto wa shule vituoni ili mbarikiwe

BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
4,879
Points
2,000
BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
4,879 2,000
Kuna mtu ana gari moja miaka nane kumi hilo moja hajui kwann ajabarikiwa lingine

Kuna baraka mnazikosa wenyewe m.Huwa nikipita hata kama.Naenda mwenge nabeba watoto pale tankibovu unakuta nusu nzima wanashukià lugàlo

Nn wale waliobakia wanashuka mwenge wanakushukuru mpaka husikii hamuya chai huwa nabarikiwa sana

Kupitia baraka zao mungu amenipa gari lingine nakua wiki ijayo wataenjoy pià

Maombi yangu wale wenye magari binafsi kuna watoto mnakuta wako kituon ama wengine wanatembea kwenda kituoni simama uliza wanaenda wapi...

Hatakama uendi wanapoenda kuwafikisha tu kituoni hioo n baraka mpendwa

Ombi langu kwa mungu magari yetu tuyatumie kwa upendo na baraka tukiwa duniani mbinguni hakuna magari kule....Kule.Kwingine ndio moto mtupu

Saidia watoto wa shule wawahi shule imagine wako anafika satatu shule.Imeanza sambili unajisikiaje hatakama wakwàko wako bdng kumbuka ipo siku hutokuwepo gari azitakuwepo

Oonyesha upenda tuwabebe watoto wetu vituoni wawahi shule wewe baba wewe mama.Mkaka mdada unatengeneza baraka za watoto wako

Kupitia barakahizi mungu akufanikishe kila jambo unalomlilia na kuliitaji likawe baraka na màfanikio

Amen
 
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
12,649
Points
2,000
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
12,649 2,000
tatizo sheria za hii nchi ni za kijinga sana,nashangaa wapuuzi flani wanatoka mapovu eti uhuru wa habari,wakati kuna sheria za kijinga jinga zinabana watu wasitoe misaada kwa jamii ya watu kama wanafunzi.

ni vizuri sana mkuu unafanya mbele ya muumba wako,ila ikatokea umepata nao ajali wakaumia au kupoteza maisha,utajutia wema wako.hakuna rangi utaacha kuona.

swali utaulizwa je gari yako imefaulu vigezo vya kubeba wanafunzi!!!!sasa jiulize kati ya alphard yako au noah na dcm la gomz lipi lina kiwango cha kubeba wanafunzi.
 
Mtukutu wa Nyaigela

Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2018
Messages
1,350
Points
2,000
Mtukutu wa Nyaigela

Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2018
1,350 2,000
KUNA MTU ANA GARI MOJA MIAKA NANE KUMI HILO MOJA HAJUI KWANN AJABARIKIWA LINGINE

KUNA BARAKA MNAZIKOSA WENYEWE M.HUWA NIKIPITA HATA KAMA.NAENDA MWENGE NABEBA WATOTO PALE TANKIBOVU UNAKUTA NUSU NZIMA WANASHUKIÀ LUGÀLO

NN WALE WALIOBAKIA WANASHUKA MWENGE WANAKUSHUKURU MPAKA HUSIKII HAMUYA CHAI HUWA NABARIKIWA SANA

KUPITIA BARAKA ZAO MUNGU AMENIPA GARI LINGINE NAKUA WIKI IJAYO WATAENJOY PIÀ

MAOMBI YANGU WALE WENYE MAGARI BINAFSI KUNA WATOTO MNAKUTA WAKO KITUON AMA WENGINE WANATEMBEA KWENDA KITUONI SIMAMA ULIZA WANAENDA WAPI...

HATAKAMA UENDI WANAPOENDA KUWAFIKISHA TU KITUONI HIOO N BARAKA MPENDWA

OMBI LANGU KWA MUNGU MAGARI YETU TUYATUMIE KWA UPENDO NA BARAKA TUKIWA DUNIANI MBINGUNI HAKUNA MAGARI KULE....KULE.KWINGINE NDIO MOTO MTUPU

SAIDIA WATOTO WA SHULE WAWAHI SHULE IMAGINE WAKO ANAFIKA SATATU SHULE.IMEANZA SAMBILI UNAJISIKIAJE HATAKAMA WAKWÀKO WAKO BDNG KUMBUKA IPO SIKU HUTOKUWEPO GARI AZITAKUWEPO

OONYESHA UPENDA TUWABEBE WATOTO WETU VITUONI WAWAHI SHULE WEWE BABA WEWE MAMA.MKAKA MDADA UNATENGENEZA BARAKA ZA WATOTO WAKO

KUPITIA BARAKAHIZI MUNGU AKUFANIKISHE KILA JAMBO UNALOMLILIA NA KULIITAJI LIKAWE BARAKA NA MÀFANIKIO

AMEN
Omba sana wazazi wa watoto wasikushuku kuwa una nia mbaya na watoto wao
 
Mtukutu wa Nyaigela

Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2018
Messages
1,350
Points
2,000
Mtukutu wa Nyaigela

Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2018
1,350 2,000
tatizo sheria za hii nchi ni za kijinga sana,nashangaa wapuuzi flani wanatoka mapovu eti uhuru wa habari,wakati kuna sheria za kijinga jinga zinabana watu wasitoe misaada kwa jamii ya watu kama wanafunzi.

ni vizuri sana mkuu unafanya mbele ya muumba wako,ila ikatokea umepata nao ajali wakaumia au kupoteza maisha,utajutia wema wako.hakuna rangi utaacha kuona.

swali utaulizwa je gari yako imefaulu vigezo vya kubeba wanafunzi!!!!sasa jiulize kati ya alphard yako au noah na dcm la gomz lipi lina kiwango cha kubeba wanafunzi.
Na hawatamwelewa kuwa anawabeba hao wanafunzi bila kutegemea malipo yoyote.
 
K

kina kirefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2018
Messages
363
Points
500
K

kina kirefu

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2018
363 500
KUNA MTU ANA GARI MOJA MIAKA NANE KUMI HILO MOJA HAJUI KWANN AJABARIKIWA LINGINE

KUNA BARAKA MNAZIKOSA WENYEWE M.HUWA NIKIPITA HATA KAMA.NAENDA MWENGE NABEBA WATOTO PALE TANKIBOVU UNAKUTA NUSU NZIMA WANASHUKIÀ LUGÀLO

NN WALE WALIOBAKIA WANASHUKA MWENGE WANAKUSHUKURU MPAKA HUSIKII HAMUYA CHAI HUWA NABARIKIWA SANA

KUPITIA BARAKA ZAO MUNGU AMENIPA GARI LINGINE NAKUA WIKI IJAYO WATAENJOY PIÀ

MAOMBI YANGU WALE WENYE MAGARI BINAFSI KUNA WATOTO MNAKUTA WAKO KITUON AMA WENGINE WANATEMBEA KWENDA KITUONI SIMAMA ULIZA WANAENDA WAPI...

HATAKAMA UENDI WANAPOENDA KUWAFIKISHA TU KITUONI HIOO N BARAKA MPENDWA

OMBI LANGU KWA MUNGU MAGARI YETU TUYATUMIE KWA UPENDO NA BARAKA TUKIWA DUNIANI MBINGUNI HAKUNA MAGARI KULE....KULE.KWINGINE NDIO MOTO MTUPU

SAIDIA WATOTO WA SHULE WAWAHI SHULE IMAGINE WAKO ANAFIKA SATATU SHULE.IMEANZA SAMBILI UNAJISIKIAJE HATAKAMA WAKWÀKO WAKO BDNG KUMBUKA IPO SIKU HUTOKUWEPO GARI AZITAKUWEPO

OONYESHA UPENDA TUWABEBE WATOTO WETU VITUONI WAWAHI SHULE WEWE BABA WEWE MAMA.MKAKA MDADA UNATENGENEZA BARAKA ZA WATOTO WAKO

KUPITIA BARAKAHIZI MUNGU AKUFANIKISHE KILA JAMBO UNALOMLILIA NA KULIITAJI LIKAWE BARAKA NA MÀFANIKIO

AMEN
Usirudie huu ushauri kwajumla(labda tuamue sisi wananchi tuaze kijenga mabweni kwamikono yetu.
 
MakinikiA

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Messages
1,714
Points
2,000
MakinikiA

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2017
1,714 2,000
KUNA MTU ANA GARI MOJA MIAKA NANE KUMI HILO MOJA HAJUI KWANN AJABARIKIWA LINGINE

KUNA BARAKA MNAZIKOSA WENYEWE M.HUWA NIKIPITA HATA KAMA.NAENDA MWENGE NABEBA WATOTO PALE TANKIBOVU UNAKUTA NUSU NZIMA WANASHUKIÀ LUGÀLO

NN WALE WALIOBAKIA WANASHUKA MWENGE WANAKUSHUKURU MPAKA HUSIKII HAMUYA CHAI HUWA NABARIKIWA SANA

KUPITIA BARAKA ZAO MUNGU AMENIPA GARI LINGINE NAKUA WIKI IJAYO WATAENJOY PIÀ

MAOMBI YANGU WALE WENYE MAGARI BINAFSI KUNA WATOTO MNAKUTA WAKO KITUON AMA WENGINE WANATEMBEA KWENDA KITUONI SIMAMA ULIZA WANAENDA WAPI...

HATAKAMA UENDI WANAPOENDA KUWAFIKISHA TU KITUONI HIOO N BARAKA MPENDWA

OMBI LANGU KWA MUNGU MAGARI YETU TUYATUMIE KWA UPENDO NA BARAKA TUKIWA DUNIANI MBINGUNI HAKUNA MAGARI KULE....KULE.KWINGINE NDIO MOTO MTUPU

SAIDIA WATOTO WA SHULE WAWAHI SHULE IMAGINE WAKO ANAFIKA SATATU SHULE.IMEANZA SAMBILI UNAJISIKIAJE HATAKAMA WAKWÀKO WAKO BDNG KUMBUKA IPO SIKU HUTOKUWEPO GARI AZITAKUWEPO

OONYESHA UPENDA TUWABEBE WATOTO WETU VITUONI WAWAHI SHULE WEWE BABA WEWE MAMA.MKAKA MDADA UNATENGENEZA BARAKA ZA WATOTO WAKO

KUPITIA BARAKAHIZI MUNGU AKUFANIKISHE KILA JAMBO UNALOMLILIA NA KULIITAJI LIKAWE BARAKA NA MÀFANIKIO

AMEN
unavumiliaje wale wanaobandika bigijii
 
MTINGIJOLI

MTINGIJOLI

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
811
Points
1,000
MTINGIJOLI

MTINGIJOLI

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
811 1,000
That's a very risky matter usijisemee kirahisi rahisi tu.

Kuna kuwadhuru watoto on one side ila kuna na mengine.

What if mtoto ni mgonjwa.... ana kifafa kwa mfano....what if anything happens to the child?
Unakujaga Na Vitu Flani Hivi! Nai Enjoy Sana Kusoma Comments Zako
 
N

nkese

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2017
Messages
1,713
Points
2,000
N

nkese

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2017
1,713 2,000
tatizo sheria za hii nchi ni za kijinga sana,nashangaa wapuuzi flani wanatoka mapovu eti uhuru wa habari,wakati kuna sheria za kijinga jinga zinabana watu wasitoe misaada kwa jamii ya watu kama wanafunzi.

ni vizuri sana mkuu unafanya mbele ya muumba wako,ila ikatokea umepata nao ajali wakaumia au kupoteza maisha,utajutia wema wako.hakuna rangi utaacha kuona.

swali utaulizwa je gari yako imefaulu vigezo vya kubeba wanafunzi!!!!sasa jiulize kati ya alphard yako au noah na dcm la gomz lipi lina kiwango cha kubeba wanafunzi.
Umetoa jibu sahihi kabisa. Kongole.
 
Bonny

Bonny

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
12,411
Points
2,000
Bonny

Bonny

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
12,411 2,000
Ha ha ha ha ha Speaking of the Devil, Hii habar ya kubeba watoto ilimkuta Jiran yangu hana hamu nayo, Kuna binti alipewa ujauzito na bodaboda akauza kesi kwa mshkaji pona yake mara nying alikua anampa lift na akiwa mkewe.
 
Forum statistics

Threads 1,325,716
Members 509,275
Posts 32,200,578
Top