BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,735
- 5,002
Kuna mtu ana gari moja miaka nane kumi hilo moja hajui kwann ajabarikiwa lingine
Kuna baraka mnazikosa wenyewe m.Huwa nikipita hata kama.Naenda mwenge nabeba watoto pale tankibovu unakuta nusu nzima wanashukià lugàlo
Nn wale waliobakia wanashuka mwenge wanakushukuru mpaka husikii hamuya chai huwa nabarikiwa sana
Kupitia baraka zao mungu amenipa gari lingine nakua wiki ijayo wataenjoy pià
Maombi yangu wale wenye magari binafsi kuna watoto mnakuta wako kituon ama wengine wanatembea kwenda kituoni simama uliza wanaenda wapi...
Hatakama uendi wanapoenda kuwafikisha tu kituoni hioo n baraka mpendwa
Ombi langu kwa mungu magari yetu tuyatumie kwa upendo na baraka tukiwa duniani mbinguni hakuna magari kule....Kule.Kwingine ndio moto mtupu
Saidia watoto wa shule wawahi shule imagine wako anafika satatu shule.Imeanza sambili unajisikiaje hatakama wakwàko wako bdng kumbuka ipo siku hutokuwepo gari azitakuwepo
Oonyesha upenda tuwabebe watoto wetu vituoni wawahi shule wewe baba wewe mama.Mkaka mdada unatengeneza baraka za watoto wako
Kupitia barakahizi mungu akufanikishe kila jambo unalomlilia na kuliitaji likawe baraka na màfanikio
Amen