Mponda 02
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 534
- 508
Ukiwa unatumia simu, ukisha save picha kama hiyo nenda gallery bofya hiyo picha itatokea neno edit. Bofya hapo halafu utaona kalamu ya kuchora, bofya halafu anza kuchora.Boss nje ya mada hivi mnatumia nini kuzungushia hivo vi mistari
sijui Kama nimeeleweka.
Itategemea aina ya simu.