Wenye dhambi nzito tukutane hapa

Nikipitia amri kumi za Mungu...nimezini na kutamani. Lakini binafsi napingana na hizo dhambi maana ni mwili wangu umeumbwa hivyo sikufanya kwa makusudi. So hadi sasa sina dhambi hata moja
Nani kasema kuzini ni dhambi?
Kuzini si dhambi hata kidogo.
 
Wewe ni mbakaji na muuaji. Unatakiwa uuwawe pia kama bado uko hai
 
Inasikitisha sana bila sheria hakuna dhambi.
 
Mkuu hapo kweli kabisa... Maana mi dhambi yangu kubwa ni kutokufanya ibada tuu mambo mengin yote sijafanya kama kuzini na kuuwa sijui
Kwamba una bikra ya kiume??

Jadda huyu ndio mwanaume pekee wa jf anaetakiwa kudemand demu bikra maana na yeye bikra.
 
mwanzisha uzi kageuka kuwa uzi wenyewe daah πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Hii kama sio chai , ******** utakuwa na roho mbaya zaidi ya shetani 🀬
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…