NO MKUU. sikushauri coz;
1. mambo ya kusema umempenda sana hayapo bwana, kwa wanaume suala la kupenda ni ishu ya mazingira tu. ukija mbeya utapenda, ukija mtwara utapenda, ukija mwanza utapenda nk.
2. kwa nini uoe mtu ambaye ameshazaa? well, sio ishu but nimeshuhudia wengi wakurudi kucheza dramma na mzazi wa zamani au kutoa visingizio eti naenda kwa mzazi wa zamaani kuwapeleka watoto. in short utakuwa na mambo meeengi bila 7bu.
3. wanawake ni wengi, tafuta kigoli bwana.
4. ni maoni yangu na mtazamo wangu, sijaoa but sitakuja penda aliyezaa kwa kigezo eti nimempenda why?? hakunaga..... ntatafuta kitoto kibichi naoa.
5. yaani wewe unaoa leo, tayari familia ina watu wanne na itabidi utafute housegirl mnakuwa watano.... hapo bado haujapata mtoto wako.... think big!!
Nashukuru kwa michango yenu, nashindwa kumjibu mmoja mmoja kutokana na
mtandao kuwa Slow. Kwa ufupi nimejifunza haya
1. Kuoa mwanamke aliyezaa kunaweza kusababisha gharama kubwa ya kimaisha
kutokana na ukubwa wa familia.
2. Wengine wanahisi kwamba huenda kukawa na muendeleo wa mahusiano na
mwanamme aliyeachana nae
3.Wapo ambao wanatabiri kutokea mateso ambayo hawajafafanua.
Nashukuru kwa ushauri wenu na nitarudi tena mtandao utakapokaa sawa.
Hizo hoja zote ulizopata hazina msingi wowote!
1 unaweza kuoa mwanamke anaetegemewa na wadogo zake na ww ndugu zako wakawa wanakutegemea. Babangu amesomesha shemeji zake wote na watoto wa ndugu zake wote, as a result wote ni wanae na akikohoa tu wanaitika kwa pamoja! Kukwepa mwanamke kwa ajili ya watoto ni ubinafsi na uchoyo tu,tena wa kinyonge!
2. kuendeleza mahusiano na ex ni tabia tu ya mtu na visingizio visivyoisha! Kuna wangapi wanatembea na bf zao ama gf wa zamani, na hawakua na watoto? Jifunze kuamini, na zaidi mwanamke huyo keshatendwa. Ukimuonesha upendo atakua kama mtoto wa somalia akipewa maziwa anavyoshukuru!hata ww umeshawahi kuwa na mahusiano na ukiamua kurudisha mtoto sio kisingizio!
3. mateso yapo tu! Bible inasema 'duniani mnayo dhiki,lakini jipeni moyo. Nimeushinda ulimwengu'. Kuna wadada wameolewa na bf wa kwanza na wanateswa tu na waume wasio waaminifu! Siiti mateso lakini challenge za maisha zipo na zitakuwepo hata kama hakuna watoto!
Ushauri Wangu:
Jichunguze nafsini mwako. Kabla hujazama sana huyo bibie atafute talaka kwa mumewe na awe huru. Miezi 6 ni michache kwa wanandoa kuachana. Pili,kubalianeni idadi ya watoto mtakaoongeza (ya Mungu mengi,huenda usijaliwe watoto baba nani anajua?).
Mkubaliane mtakavyowalea hao wawili waliopo ikiwa na pamoja na open communication kati ya baba yao na mama (wewe utahusika moja kwa moja).
Kila la kheri,mapenzi hayana formula baba
ebwana BPM, hili la umri limekaaje? nataka maelezo zaidi kimtazamo ktk hili. tofauti iwe kubwa, wastani au ndogo sana?mkuu , hapo suala la kuoa halina ubaya sana ila kuna mambo ambayo ni ya msingi kwanza kuyaweka wazi..naomba majibu ya haya maswali mkuu
- tofauti ya umri wako na wake
- je wewe una watoto wangapi??
- je yeye alikuwa na ndoa ya aina gani (kanisani, bomani etc)
- je ulishawahi kuwa kwenye ndoa?
- mmewe anaishi / mko nae mkoa mmoja?
king'asti....great lady.
ushauri mwema sana BUT kwamimi sitaufanyia kazi.
mkuu , hapo suala la kuoa halina ubaya sana ila kuna mambo ambayo ni ya msingi kwanza kuyaweka wazi..
naomba majibu ya haya maswali mkuu
- tofauti ya umri wako na wake
- je wewe una watoto wangapi??
- je yeye alikuwa na ndoa ya aina gani (kanisani, bomani etc)
- je ulishawahi kuwa kwenye ndoa?
- mmewe anaishi / mko nae mkoa mmoja?
Inawezekana! Maana naona wanawake wengi wanatesa watoto wa waume zaoNi bora mwanamke akiwa na watoto kuliko mwanaume!Mi nafikiri kama umeamua kua nae tazama mazingira ya mawasiliano ya baba wa hao watoto na mama yao,hilo ndo la muhimu,kama hakuna tatizo hapo go on!