Inabidi uache kujilipua namna hiyo,usipobadili tabia kuna siku utanasaWa pili mwaka 2004 tulifika kabisa kitandani tunataka kuanza, nikapigiwa simu ya msiba, tukaahirisha, baada ya msiba nikakumbushia, akaniambia ameathirika, she is now very sik, bed riden, namtembeleaga. verry sory of her.
Sasa kama unaamini mungu sana si ukikanyage miwaya live tu halafu mungu atakusaidia?
Mbona mnamburuza mungu sehemu hayupo?
Inabidi uache kujilipua namna hiyo,usipobadili tabia kuna siku utanasa
Wa pili mwaka 2004 tulifika kabisa kitandani tunataka kuanza, nikapigiwa simu ya msiba, tukaahirisha, baada ya msiba nikakumbushia, akaniambia ameathirika, she is now very sik, bed riden, namtembeleaga. verry sory of her.
Wana jf salaam. napenda kushare nanyi hii kitu ambayo ilinitokea personaly, ambapo nilinusurika kuambukizwa hiv mara 3 kwa vipindi 3 tofauti na warembo 3tofauti. this is the story, dem wa kwanza ni mwaka 2002,alikuwa ofic mate, yaani she was gorgious african woman, whom every man would wish 2 hav in bed. tukapanga ku do, tulipofika gesti, dem alikataa kabisa tongue kiss, nilifadhaika sana hadi jogoo akagoma kuwika, coz kwanza sikuwa na zana na nikaanza kuhisi kuna tatizo. tuliahirisha mechi, ila baadaye akanijulisha kuwa hakutaka tongue kis kwa sababu ameathirika na hangependa kuniweka kwenye risk! nilijikuta nasweat mwili mzima, nilimshukuru sana, we became best frndz hadi alipofariki may mwaka huu. hao wengine wa2 nitaendelea badaye, ila napenda nijue, kuna ambaye amewahi kukutana na jambo kama hili? si ni kwa neema tu tunapata kupona? hasa when a pretty lady is involved?

what if she is cheating you?
eeeheee....wa 3 ikawaje.....?
Wanawake bana kw umbea!!
mwanamke umbea suna.....