Wenye akili CHADEMA wapo kimya


Amini nakwambia kuna siku huyu Mbowe atatembea na slippers mtaani. Hawezi kuchezea akili ya Watanzania wakati tunahitaji mageuzi. Just wait and see my friend. Atauza kila kitu.
 

Jitahidi kaka inaelekea leo utapokea kiasi kikubwa sorry utakuwa umeshapokea kiasi kikubwa lakini unalipwa kwa gharama na kujitoa ufahamu na kujitia upofu wewe mwenyewe huwezi jaribu kupotosha umma kuwa maamuzi ya kamati kuu ya chama makini kama CHADEMA chama kinachonyima usingizi watawala.
 
Ukiwapongeza ww wanapata nn na usipowapongeza wanakosa nn!

Siyo kazi yangu kukuelewesha mtu mzima maana ya kupongezwa, hiyo ni elimu ya darasa la awali.
 

Hivi WEWE MWENYE UFAHAMU NA UNAYEONA umeshindwa nini kutoa sababu hata moja ya hayo unayoyaandika? Siyo swala la kusema 'chama makini' -eleza kwa nini ni chama makini. duuuuu!
 

una maneno mtoto wa diwani.................... hayo maneno mekundu yanachoma kumoyooo
 
Amini nakwambia kuna siku huyu Mbowe atatembea na slippers mtaani. Hawezi kuchezea akili ya Watanzania wakati tunahitaji mageuzi. Just wait and see my friend. Atauza kila kitu.

mabinalization au tunaita Kisesalization.................



 
Akili za misukule utazijua tu! huna jipya kachukue buk7 lumumba
mkuu muda utasema. kuna miezi 18 tu kabla ya haya kutokea. kwani tunaandikia mate, usiwe na pupa subiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…