Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,716
- 28,627
Hizi ni habari za ndani ya chama na watu wa karibu wa Wenje wemesema sasa Wenje yuko mbioni kuanza harakati za kulikomboa jimbo lake kutoka mikononi mwa Mabula.
Habari za ndani zinadai Wenje anamalizia kuweka mambo yake sawa then arudi kwa kishindo kupigana kufa na kupona ili jimbo lirudi CHADEMA, hayo yamesemwa na mtu wa ndani kwenye chama ambaye hakutaka jina lake litajwe.
Tulifanya mipango ya kumpata Wenje lakini ilishindikana baada ya kumpigia simu yake iliita pasipo kupokelewa hadi mara tatu hata baada ya kumtumia ujumbe mfupi haukujibiwa.