Private investigator
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 303
- 287
Kuna point inafika hakuna haja kubembeleza mtu ndugu. Bangua kichwa.Badala ya kufikiria namna ya kukomboa ndoa yako una waza kuoea tena mwanamke mwingine usipoteze mda wako na wa huyo mwanamke mpya hata hiyo haito dumu
Ndicho ulichoona kinafaa kuandika?Kwa mtu anayejiita private investigator ni ajabu kuona unashidwa kujuwa cha kufanya.
Kuna point inafika hakuna haja kubembeleza mtu ndugu. Bangua kichwa.
Huwa naamini mapenzi ni ya wawili, ikifika point MTU ameamua kuondoka maana yake hata upendo umeisha. Kubembeleza ninahisi ni kutunza Bomu LA baadae, bora kila mtu akaendelee na maisha.Hilo kosa hata kanisa lilishindwa kusuluhisha........?....
Anyway.......labda ukamuulize mchungaji/padri wako.......au labda uende mahakamani.......
Huwa naamini mapenzi ni ya wawili, ikifika point MTU ameamua kuondoka maana yake hata upendo umeisha. Kubembeleza ninahisi ni kutunza Bomu LA baadae, bora kila mtu akaendelee na maisha.
Hapo ni Mahakamani labda. Ndo maana nimeomba msaada namna ya kuvunja ndoa kisheria, sio kuisuruisha.
Mi nikikuoa halafu ukanipeleka kanisani kusuluhisha, ndo nakuacha MAZIMA. Tukishindwana mm na ww ndo imeisha hyo. Mtu wa 3 atasuluhisha lakn usiku nipo mm na ww tu ndan, yeye hayupo. Kma hatupendani basi hatupendani tu. Sisi wawili ndio wa kujenga au kubomoa, hakuna cha mchungaji wala mzaziHilo kosa hata kanisa lilishindwa kusuluhisha........?....
Anyway.......labda ukamuulize mchungaji/padri wako.......au labda uende mahakamani.......
Na hapo nimefinya maneno.P
Ndicho ulichoona kinafaa kuandika?
Mi nikikuoa halafu ukanipeleka kanisani kusuluhisha, ndo nakuacha MAZIMA. Tukishindwana mm na ww ndo imeisha hyo. Mtu wa 3 atasuluhisha lakn usiku nipo mm na ww tu ndan, yeye hayupo. Kma hatupendani basi hatupendani tu. Sisi wawili ndio wa kujenga au kubomoa, hakuna cha mchungaji wala mzazi