Sasa kama Suleimani alishindwa kujizuia kula papuchi, je sisi ni akina nani na hata tuukwepe mtrako wa Rose? Suleimani ni mti mbichi, itakuwaje kwa sie mti mkavu? Suleimani alipo ona amekosea akaja na mausia na athari za alichokipitia baada ya kukengeuka. Usifurahi zinaa wala kuishabikia ni mbaya