Wengi wamefiwa na Baba zao

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Nimekutana na wasichana wengi kuanzia 18+ wazuri sana.

Wanatoka kwenye familia zenye uwezo, nikitoka nao huwa naulizia wazazi wake na hunijibu kuwa baba amefariki.

Kwa kweli ni huzuni, nimeamini kuwa msichana asiye na Baba ni mwepesi sana.
 
Kwan baba ndio anamfanya kuwa mgumu?
 
mwepesi sana kivipi??? fafanua tukuelewe :A S-eek::A S-eek:.
 
Boflo weeee, uchunguzi wako ndio umeishia hapo??
Haukuishia hapo....nimegundua kua upande mmoja ni kilio...

and other side ni chereko....kufa kufaana
 
wpesi kung'oa? au wanahitaji confort from man?
 
nilikuwa silijui hilo Boflo.....
 
Last edited by a moderator:
Samahani bandiko lako sijalielewa. Kuna uhusiano gani kati ya ugumu na kuwa na baba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…