Mimi nakaa Arusha mjini nafanya kazi USA-RIVER, nilikuwepo kwenye mkutano wa liganga,this is the best moment for freedom,ningewashauri makamanda walioko mjengoni Dodoma,waakikishe ofisi zao za majimboni zinafanya kazi,kama alivosema Nassari kwamba ataajiri katibu wake kwenye ofisi ya jimbo ili wananchi wapeleke kero zao na mbunge Nassari kuyafanyia kazi,na hata ikiwezekana wawe na sub-offices kwenye kila kata,mtachukua nchi hii 2015 makamanda wenzangu.