Matawi mhimu mkuu!! Tunahitaji kura zote zitakazopigwa ziende sehemu husika!!ushindi 2015 ni lazima hata bila kufungua matawi. Wananchi wamechoka na hizi siasa za kulindana wanataka mabadiliko. Tuwepe moyo na kuzidi kuwaombea viongozi wetu wa CDM ili tuweze kuwakabidhi Ikulu 2012. hakuna wakuzuia hilo.
Matawi mhimu mkuu!! Tunahitaji kura zote zitakazopigwa ziende sehemu husika!!
Wana CCM si wabaya ila wabaya ni viongozi wao. Hata ukimleta Lowassa Cdm kulivyo na nidhamu atadhibitiwa tuLet us be wary not to start another precedence of irresponsible institute co's some men are going to crossover from junky ccm
Ni nani huyo mkuu?
Ni mwanachama wa CDM aliyepotea baada ya kukwaruzana na Beno pale Tripple A, haijulikani alipo hadi leo, labda kama ameshapatikana wanajamvi watatupa habari. Inasikitisha sana, ila yana mwisho.Ni nani huyo mkuu?