WENGI WAJITOKEZA MTWARA KUMUDHAMINI PROF MUHONGO:Wazir wa zaman wa nishati na madini ambaye ni mtaalam sn katika fani ya Geology,na ambaye anatajwa kuwa wazir pekee ambaye aliiweza wizara ya madin na nishati ,Prof Muhongo amepata udhamini wa wanachama wengi sana huko mtwara.Prof Muhongo ambaye pia alipata udhamin wa hali ya juu huko Temeke ,Zanzibar na na Pemba ,amekuwa na mvuto mkubwa sana kwa wanachama wengi wa CCM kutokana na mipango yake mizur ya kuondoa umasikin .Muhongo ambaye amengara sana na uwezo wake mkubwa wa kusambaza umeme vijijin ,REA,analiliwa sana na wananch wengi ,kwan pengo lake kwenye wizara ya madini na nishati linaonekana wazi kwani kwa sasa umeme unakatika sana.