Wengi tumepitia

Sisi huko tuliko kulia hakuna cha fridge wala taa za kuweka on/off. Mambo hayo yalioandikwa mengi ni kwa mazingira ya wazungu.

Tiba
 
hahahha dah kama kama najiona vile ila hiyo ya fridge hadi juz kati tu nilikua naifanya sijui ni kwa sababu sikukua nazo wakati huo
 
hahahha dah kama kama najiona vile ila hiyo ya fridge hadi juz kati tu nilikua naifanya sijui ni kwa sababu sikukua nazo wakati huo

Ndo uache mkuu umekua sasa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…