Wengi tu wanasema hivo!

BatteryLow

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
446
Reaction score
149
Jamaa alikuwa anamkoleza demu moja hivi, ilikuwa ni mara ya kwanza, jamaa kwa mbwembwe akajifanya kumsifia demu.
Jamaa: Best kitu yako ya moto!!
Demu: Wengi tu wanasema ivo.
 
Hakuna cha ajabu hapo,kwani alimkuta na bikra?
 
Jamaa alikuwa anamkoleza demu moja hivi, ilikuwa ni mara ya kwanza, jamaa kwa mbwembwe akajifanya kumsifia demu.
Jamaa: Best kitu yako ya moto!!
Demu: Wengi tu wanasema ivo.

Udaku huu!
 
hapo lazma ujiulize kwenye hii cheni tupo wangapi.
 
napita tu naelekea kwenye masuala yanayolihusu taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…