Mimi nadhani idadi kubwa ya watu hawavai condom. Ni kuyeyushana tu....
Kama amepima, kavu is ok!
Kama hajapima, condom lazima!
Kwa Mume/Mke kavu is ok!
La sivyo condom lazima.
Wengi wanatembelea limu Papa mopao!!kupima uanajua wewe na watu wakwenu zaire lakini bongo.............pure leather mkuu!!😛layball:
unakutana na mtu siku ya kwanza unavaa,............baada ya wiki ati mshajuana mnaacha kuvaa. Mlipima?
itabidi nijibu kuwa uvaaji hauzingatiwi, wala watu hawako serious kihivyo na hilo suala kwa kweli
G no offence ila inabidi nikuulize hapa Unayajuaje haya au wewe mmoja wao??unakutana na mtu siku ya kwanza unavaa,............baada ya wiki ati mshajuana mnaacha kuvaa. Mlipima?
itabidi nijibu kuwa uvaaji hauzingatiwi, wala watu hawako serious kihivyo na hilo suala kwa kweli
Wakuu,
Hivi kwauchunguzi wako na wewe mwenyewe sema hivi matumizi ya kondom yanazingatiwa??
Maana nachojua unatumia kawiki tu mwishowe unaanza kutembelea rimu(Ring)Hata wanawake wao ndo kabisa maamuzi hawana ikifika wiki huyo...........eti sasando umefanyeje kwakua umemmnyeshea kesho kwakuwa ushajijengea jana nilitembelea rimu hakuna nachozuia sas ndo unaongeza speed 120!!!
Nawengine utasikia wanasema zilikuwa kwenye wallet katika suruali nilipotundika kwenye hanger nikaona mbali nikaacha!!!
Wengine eti nikaona linafanya prrrrrrprrrrr nikatoa!!
Wengine eti nikivaa chakwanza tu chapili inalala!!!
Swali je wewe unavaa tuwe wakweli kuleta mada mezani.:thumb::amen:
Mimi yawekana ni me experience kutokana na hili ila nataka nikwambie sisi wanaume tunaambiana mtukio yetu hivyo unakuta mtu anakwambia jana nilipata demu labda wametoka club tukaenda guest lakini demu akawa hataki nikmpga sound kakubali kaingia mimi sikukawiza.......sasa hapo kuna condomu?ukimuuliza anabaki kucheka!G no offence ila inabidi nikuulize hapa Unayajuaje haya au wewe mmoja wao??
:A S 39::A S 39::A S 39::A S 39:
Mhhh pagumu sana kuvaa hizo makitu aise
Tunaongea tuu kwenye mtandao ila ukishaingia na kuvua suruali inavyotupwa mbali na wewe hata uvivu wa kwenda kuichukua utafute condom unakuwa haupo kabisa